CUF wapinzani wa kweli. Hongereni

rusesa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
538
233
Habari wana jf.
Baada ya ukaguzi wa CAG tumeweza kujua ni vyama vipi vya siasa vinaganga njaa. mfano chadema. Ni mewataja chadema kwasababu wao ndio walio jinasibu kuwa wapinga ufisadi na mwenye uchu na maendeleo na taifa hili.

CAG kabaini kuwa kati ya vyama 22 vilivyosajiliwa chama cha CUF tu ndio kilipeleka nyaraka na kukaguliwa.

Je uzalendo tuliokuwa tukiambiwa na chadema upo wapi?

Je ntakosea nikisema chadema ni jipu kama Ccm?
chanzo: mwananchi

NOTE:
UZII HUU NUJUA UTAFUTWA HARAKA: UKWELI UTABAKI PALE PALE: KUUONDOA UZII HUU SI DAWA.
 
chadema wangepewa nchi na hisi wangeiuza. kukaguliwa tu wameogopa. unategemea nini hapo. daaaaaaaa sitaki tena kusikia hii saccos ya mtei na dj.
 
Hutaki kuisikia chadema....ila itazid kukua .....na kunawiri......wasira alisema itakufa ...leo amekufa yeye kisiasa......
 
  • Thanks
Reactions: PNC
chadema wangepewa nchi na hisi wangeiuza. kukaguliwa tu wameogopa. unategemea nini hapo. daaaaaaaa sitaki tena kusikia hii saccos ya mtei na dj.
Chadema hawawezi kupeleka hesabu zao kwani pesa zilizomwagwa na EL na wenzake hazihesabiki. Wangefanya hivyo kama dk. Slaa na Zitto wangekuwa ndani ya chama hicho,kwa sdsa wamebaki madalali unategemea nini?
 
well said hahahaaaaa
 
Duuuh. Wenye chdma wamekukaa kimya why?
Kumbe ufisadi huu hata chadema wako. Sawa tuu na ccm....
 
Back
Top Bottom