CUF: Taarifa kwa umma na vyombo vya habari kuhusu uteuzi wa CCM kwa jimbo la Kinondoni

Sijawahi kuoñà upinzani waoga kiàsi hiki¡Hatutaki tenà kitu kupita bila kupingwa,heri tufe wote sio kukubàli huu upumbavu,
 
Tokea lini Kambaya akawa msemaji wa Cuf wakati kidhavuliwa huo uanachama. Hii nchi imevamiwa vibaya sana kwenye ulingo wa siasa humjui muigizaji na wala mkweli wote wamefanana na Majuto.
 
THE CIVIC UNITED FRONT) CUF - Chama cha Wananchi)

TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTEUZI WA CCM KWA JIMBO LA KINONDONI

Waheshimiwa Watanzania, tumepigiwa simu na Wanahabari kutaka kujua msimamo wa CUF kuhusu uteuzi uliofanywa na CCM dhidi ya Maulidi Saidi Mtulia kugombea Jimbo la Kinondoni. Kwa tunapenda Watanzania watambue kua Mtulia si Mwanachama wa CUF na katika hali hiyo, Cuf hawezi kua na sababu yoyote ya kushangazwa na uteuzi huo.

Pili Watanzania wanapaswa kutambua kwamba CCM kama Chama wanayohaki ya kumsimamisha Mtulia kua ni Mgombea wao japo Uamuzi huo unaweza kua na mtimanyongo kwa wanaccm na hata wasiokua wanaccm kutokana na tamaduni za CCM au historia ya Mtulia mwenyewe kwakua kabla hajajiuzulu alishakua Mbunge.

CUF - Chama cha Wananchi kinamtazama Mtulia kama CHAMBO KWENYE NDOANO YA KUVULIA SAMAKI, Mtulia ni kivutio cha Utalii, ili Mbuga ya Wanyama itembelewe na Watalii wengi lazima pawepo na kivutio. Uteuzi wa Mtulia utawavuta wengi kwenye CCM wakiwa na Mategemeo kua na wao wakifanya kama alichofanya Mtulia basi watateuliwa kua Wagombea kwenye Majimbo yao ya awali. Lakini Chambo kwenye NDOANO ni ngumu kumpata ila anarahisisha kuvuliwa au kupatikana kwa Samaki wengi. CUF - Chama cha Wananchi kitawashinda Wagombea wa Vyama vingine wataoshiriki kwenye Uchaguzi huo. Tumeshaanza maandalizi muda mrefu na tuna Mgombea mzuri, tuna uhakika wa kushinda kwenye Jimbo hilo la Kinondoni.

Wito wetu kwa Watanzania wajitokeze Kwa wingi kupiga Kura za kukataa Matumizi mabaya ya Fedha za Umma yanayofanywa na Maulidi Mtulia kwa kutuingiza kwenye Uchaguzi usiokua wa lazima na CCM nayo kuridhia Matumizi hayo kwa kurejesha jina la Mtulia kugombea nafasi ambayo alikua nayo hapo awali. Haya ni matumizi mabaya yalioridhiwa na CCM kwa kumrejesha Mtulia kama Mgombea wa Jimbo la Kinondoni kupitia CCM.

Watanzania bado tunachangamoto nyingi katika sekta mbali mbali kama vile Elimu, Afya na Miundombinu duni ndani ya Nchi yetu ambapo Fedha hizi za Uchaguzi zingeweza kuelekezwa huko. Kataaeni Matumizi haya kwa kushiriki kikamilifu kwenye Marejeo ya Uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Mwezi February

HAKI SAWA KWA WOTE

Abdul Kambaya Mkurugenzi wa Habari Uenezi CUF
Ngangari imegeuka urojo!! Waswahili bhana siasa hawawezi kabisa zao porojo za vijiweni tu!
 
Jamani katiba mpyaa ijee Jaman... Maana sisi tunalalamika Wakati wote ni muda wa vitendo

Mimi npo kinondon nikilala na kuamka nitakuepo apa apa kino... We upo temeke au ilala.. Chato au arusha Mjini au popote pale ukilala na kuamka utakua apoapo

Na maana maisha yetu yote yapo Tanzania si pengine tukiwa na katiba Nzur ambayo haimpi raisi mamlaka mkubwaa yote yasinge tokea labda saiv ungekuta tunajadili kuhusu huyo mtulia kwann hajaleta viwanja vya mpiraaa kinondon ili vijana wakuzee vipaji... Lakin utaona saiv tuna ongea ujingaa wake aliofanya...

Sasa tupatee katiba bora... Yan ata mtu akiteuliwa kuwa mbunge au Waziri au raisi anajiulizaa nitawezaa...

Ninachokiona si raisi wala wabunge kama wanaelewa maana ya katiba bora... Wanacho kijua ni katiba mbovu inayo wapa fursa ya kufanya wanachotaka

Tena kwa kuambiwa Mfano unakuta raisi hajui kitu anaambiwa tu hivi unajua ukisema neno tu linatakiwa litimizwe atakama lina impact mbaya kwa watu... Bac huyu jua wetu anasema

Unajua ukimwambia Waziri au mkuu wamkoa afanye jambo flani atafanya Bac na lenyewe linasemaa tuu... Huu ni huuni tu alafu mtaani Kwetu tunajua kuwaendo

Taratibu atakuja kuona ktk kampeni zake atakufa kwa preshaaa nahisi
 
Wameona kina lizaboni,barbarosa,lemutuz,mudawote,cocochanel,wakudavadua hawana jipya na akili zao kma dk shika heri wawapitishe waliowanunua kma changudoa wa kimboka
 
hicho chama kipya kikiundwa na wabunge wa sasa hivi wa CHADEMA NA CUF watajiuzulu ili wagombee tena kupitia hicho chama kipya?....
Maalim hana wawakilishi maana alisusa uchaguzi hivyo anaweza kianzisha upande wa zanzibar pamoja na chadema Non mps kma kina john mrema, marcus albanie, mashinji n.k walashika huku bara kwa muda kusubiri bunge kuahirishwa 2020 wakaelekea huko chama kipya

Chama hicho kipya kiwe na agenda moja tu kudai katiba mpya mchana na ucku mpka kieleweka i assure you laki si pesa ikuli mtapisha asbuhi kweupe
 
Back
Top Bottom