CUF kuzindua operation MCHAKAMCHAKA mpaka 2015.

Hapa ikitajwa CUF kuna watu wanapungua akili nawengine kupoteza fahamu.
 
Hivi Chadema mbona hawataki vyama vingine vifanye harakati zao za kisiasa, Chadema hawapatani na TLP, hawapatani na CUF, hawapatani na UDP, hawapatani na NCCR Mageuzi, hawapatani na hivi vyama vipya ADC, CCK.. Sasa msijifanye nyie ndio wapinzani wa Tanzania kwa kupata wabunge 23 Tanzania kubwa kuna sehemu Chadema hawafahamiki.
we ndio msuluhishi wa kesi?
 
kwahiyo ni mwendo wa kukimbia kwa kwenda mbele hadi visigino vikatike

Jumbe nalia ooo lia kapika wali mbichi oolia na mboga zake majani oo lia ! Yaani mchakamchaka mwisho , mchakamchaka na kisigino wapi kwa wapi !
 
Hivi Chadema mbona hawataki vyama vingine vifanye harakati zao za kisiasa, Chadema hawapatani na TLP, hawapatani na CUF, hawapatani na UDP, hawapatani na NCCR Mageuzi, hawapatani na hivi vyama vipya ADC, CCK..

Sasa msijifanye nyie ndio wapinzani wa Tanzania kwa kupata wabunge 23 Tanzania kubwa kuna sehemu Chadema hawafahamiki.

Malizia hawapatani na Chama Cha Mabwepande (CCM)
 
Back
Top Bottom