Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,995
Samahani wakuu, huo ni ujumbe wa CUF au ni Bakwata? maana naona ni waislamu watupu!
Hivi CUF wana wabunge wangapi wanaotoka Tz Bara?? Wanakwenda kuwakilisha maslahi ya Zbr au Tz maana Tanganyika tangu ife 1964 hajazaliwa tena mtoto akapewa jina hilo!!!!!!!! Kichekeshoooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kuliko kuumiza kichwa maswali yasiyo na mjibu si bora usubiri kesho CUF yenyewew watasema?
Sijaona chama cha ovyo kama CUF,hao wawakilishi ndo wameona wanafaa?hivi CUF hawana mshauri wa masuala ya kisiasa?
wamemepeleka nini maana hata kusidio lao sijalielewa! kama mswada waliupitisha kitu kipya gani kingine. sion mantink yao zaid ya kuiga
mkuu mbona kama wenzetu kama hawawezi ku arange mambo?wanafanya mambo kienyeji sana
wamemepeleka nini maana hata kusidio lao sijalielewa! kama mswada waliupitisha kitu kipya gani kingine. sion mantink yao zaid ya kuiga
CUF hawako creative,wanajaribu kujibu hoja walizowasilisha Chadema kwa Rais. Hawana uzalendo na ni wazandiki wakubwa,kinachowauma ni kupoteza mvuto wa kisiasa na hivyo Chadema kuwa kipenzi cha wazalendo halisi wa nchi hii.
Kwa vyovyote vile watakuwa wameenda kupinga kila hoja ya Chadema na bila kupeleka mapendekezo yoyote mbadala si wamekaa kishari shari! aaah sipendi mimi siasa za hivi!!!
I LIKE CUF STYLE.Nimwakubali hii ndiyo namna ya kutumia demokrasia.Yaani bungeni walikuwemo na Ikulu wanakwenda.Nadhani hiyo itakuwa ni namna yao ya kushawishi kilewanchotaka kifanyike kifanikiwe kwa kutumia very well calculated methods.