Chama Hakijui Kimeshinda Huko Zanzibar na Wanafikiri Wamependelewa Ushindi Huo. Fikra za Maskini Ndizo Zinaisumbua CUF na Watanzania Tumeshagundua Wamenunuliwa na CCM. Upinzani Atuhitaji CUF na Hata Wakiwa Upande Wetu Sidhani Kama Wanaideas Zozote Zile. Uchaguzi 2015 Wataadhibiwa Vibaya Vibaya. Tunaoifahamu Siasa na Kufuatilia Maendeleo Tanzania Tuwaweke CUF Kwenye Rada Kila Siku ya Bunge ili Wananchi Wafahamu Nani ni Mpinzani wa Kweli na Wapinzani Wapi Wanaiweka CCM Kwenye Pressure Kubadilisha Direction ya Inchi Yetu.