CUF: CDM, CCM wote ni Maadui Wetu

Jamani familia ya JF mnahangaika na mbwa badala ya mfuga mbwa?huyo ni CCM B-MAGAMBA-CUF.Wameshapotea na mwenye maamuzi si tayari yuko madarakani?hiyo ndoa yao iacheni,yeye aombe sala zake zote lakini asitegemee CHADEMA kujipendekeza kwa CCM hata siku moja na kila kukicha inaimarika wakati wao CUF na mmewe CCM wanadhoofika,kina chowaokoa sasa hivi ni vibaraka wao polisi na ufisadi,isingekuwa kupola mali ya umm na vibaraka wao polisi nakwambia hawa wangesha koma na roho mbaya yao,ufisadi wao na magamba yao,hata huyu CUF ni aibu tupu isipokuwa dhambi zao zitawaumbua.na wanaishi kwa kutuombea mabaya lakini kumbuka kwamba haki itashinda tu
 
Mbona mawazo ya Kipemba haya kweli hukuj bara yanaweza kufanya kazi ? Poleni nyie watu wa fitina .
 
tangu lini siasa ikawa uadui? haba ndo zile sera za jino kwa jino zinaposimikwa rasmi kwa wana CUF
 
Back
Top Bottom