Mpeni sifa Yesu
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 646
- 129
awa cuf kwisha habari yao...ndo wanajichimbia kabuli la chama chao hivyo.
jana wakat wabumge wa chadema wanatumia haki yao ya kikatiba kumsusia rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambaye wanaamini kuwa hakupatikana katika uchaguzi huru na wa haki, wabunge wa vyama vingine hususan cuf n.k vyenye viti 8 tu tanzania bara kwa pamoja (cuf 2, nccr , tlp 1 na udp 1) walionekana haraka haraka wakikimbilia kujaza viti vya wabunge wa chadema ili kuepusha aibu hiyo.
Nafurahi kitendo hiki kimetokea wakati ambapo mjadala uundwaji wa kambi ya upinzani ukiwa bado mbichi kabisa; ambapo waliokuwa wakitetea kushirikishwa kwa vyama vingine katika kambi hiyo natumai wamejionea wenyewe namna ambavyo wawakilishi hao wanavyoshiriki kuunga mkono kuendelea kuwepo katiba ya sasa katika mfumo na maudhui yake pamoja na tume ya uchaguzi isiyokuwa huru.
Kilichonifurahisha zaidi ni kitendo hicho kuweka mpaka vichwani na mawazoni mwa wananchi kuwa ni chama gani kipo kwa maslahi mapana zaidi ya taifa na watanzania na vyama gani vipo kwa ajili ya kutumiwa na ccm kujinda katiba na tume huru isiyokuwa huru; na kwa maana hiyo ufukara na umaskini na kukua kwa matabaka miongoni mwa watanzania.
Kwa kumsusia rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania aliye zao la katiba na tume ya uchaguzi mbovu, chadema imeungana na 51.2% ya watanzania waliojiandikisha kupiga kura lakini wakasusa kujitokeza kupinga mambo mbali mbali ikiwemo katiba na tume mbovu. Ukichanganya na 26% aliyopata dr slaa baada ya kuchakachuliwa utagundua kuwa wabunge wa chadema walikuwa wanawawakilisha takribani 77% ya watanzania waliojiandikisha kupiga kura ikilinganishwa na ccm na mhe jakaya kikwete amabye alikuwa akiwawakilisha 27% tu ya waliojiandikisha kupiga kura.
Big up chadema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ndoa ya mkeka inawasumbua, ngoja wapewe talaka
Mkuu nami jana nilitaja kama wewe,ivi inaingia akilini kwamba watz waliodanganywa kukesha wakilinda kura na wakatiwa nguvuni na kukaa kolokoloni alaf leo Seif na hamad wanaungana na wakoloni weusi kuendelea kutunyanyasa kwa kuodhi mali za umma,kupora viwanja na kujimilikisha maliasili,kukaa na katiba mbovu,leo hii wanakaa kuchekelea si tukingali matatani. Jeikeie anasema wapinzani wataenda watarudi tu,hawana wa kumlilia matatizo yetu isipokuwa mimi,jkei na serikali ya sism,huu si udikteta?anakemea udini bungeni,ivi udini uko kwa nani mbona mtaana shwari tu tuko pamoja? Jamaa ana matatizo makubwa,anazidi kuonesha IQ yake ilivo.
:teeth: data storage destructed!!Niambieni kama CHADEMA hamjawahi kuipa kamati ya muafaka chapuo. Muafaka umepatikana na sasa mnaponda matunda ya muafaka huo? lipi jema kwenu wana chachali?
kk Jk mwenyewe mzinifu sasa unafikilia mzinifu uwa anongeaga point
sasa uo udini ukwapi mbona atuuoni yeye na sheikh wa hukle masjidi ndio waliuanzisha