Critical analysis: Taarifa ya polisi kuhusu jinsi alivyouawa muuza magazeti Morogoro

Nchi hii kuna Dubu linaitwa sheria, hili ni sababu kuu ya watawala kufanya wapendavyo ati tufuate sheria. Lakini mbona hii sheria wametungiwa watawaliwa pekee. CDM wakiandamana, mara nane nane, oooh al shababu, intelijensia, mgomo wa walimu, askari hawatoshi, uvunjifu wa amani, na upimbi mwingi tu. Mbona CCM hii sheria haiwahusu. Mnatulazimisha kuanza kuidai haki kwa nguvu, na mtambue kwamba tukichoka si sisi tu tutakaokufa bali kifo kitakuwa milangoni mwenu. Gombe una roho moja kama yangu, haijalishi mbele yako kakaa askari mwenye smg. Hamwezi kututangazia amani huku mnanyanyua bunduki na kutuua, hamwezi kujiita walinda usalama wakati mnatoa roho za watu. Only deads shall know the end of war. TIME WILL TELL WHEN THERE SHALL BE NO LONGER AT EASE.
 
hapana,serikali na polisi havitengani,,,,maana polisi ni chombo cha serikali,na ipo kuilinda serikali

hapo ni sawa kwani si wote tunajuwa mkuu wa mkoa ndio anae toa amri kwa police kwenye mambo hayo kwa vile yeye ndio mkuu wa usalama mkoa

Kuna swali najiuliza,sijawah kupata MAJIBU,,,,mauaji haya yanayofanywa na polisi wakat yakifanyika VIONGOZ WAANDAMIZ WA CHADEMA HUWA HAWAPO AU????ARUSHA WAMEULIWA WATU WA 5,MORO MMOJA,SINGIDA MMOJA,,,,
SASA KWA KESI YA ARUSHA NA MORO ZAFANANA,JE POLISI HUWA HAWAWAIN HAWA VIONGOZ,,,,(SIMAANISH NAO WAUAWE)
NAOMBA JIBU

wanajua madhara ya kumpiga kiongozi kwanza upotoshaji hautokubalika juu ninoi chanzo cha kifo,
pia reaction ya wafuasi nayo itakuwa ngumu kuizuia
mwisho ni kwako je unataks tuaminisha kuwa viongozi walikimbia?au hawakuwa front?
Nimatumain yangu kuwa ulimwona kigaila akiwa ametiwa korokoroni na polisi.
 
Mr. Critical analyser, kuondolewa risasi kunaiondoa vipi polisi kwenye list ya watuhumiwa?

CCM imeingia vipi kwenye list ya watuhumiwa?

matamko ya nape siku chache kabla ya mikutano, alisema "chadema wamepanga kujifanyia fujo kwenye mikutano yake"
ina maana alikuwa anaiandaa jamii kisaikolojia kupokea taarifa za mauaji kana kwamba ni chadema wameua ili wenyenchi waanze kuingia woga kuhudhuria mikutano ya m4c.
 
Yaani watu wa falsafa pale UDSM wakiona hii mada watamshangaa sana mtoa mada.

Kama mtu alikua anafuatilia kwa makini swala la kuuwawa kwa binadamu mwenzetu kule morogoro hawezi kumwelewa mtoa mada na politiki. Nimshukuru ze marcopolo kwa kuuliza swali la msingi.

Risasi ni risasi hata palipopigwa risasi pa kioshwa namna gani pado itajulikana tu kuwa ni risasi. Kumbuka risasi ina kemikali isyopotea maana huingia kwenye damu ambapo ukipima damu tu au chembe za kwenye moyo utagundua ni risasi ama la. Pili CCM hawakutaja aliyemuuwa ni CHADEMA bali CHADEMA kutotii sheria ndiyo chanzo cha yote. Eti aliyoko karibu ndiye anayeweza kutambua aliyempiga??? Tambua wakati wa sokomoko hilo kila mtu alikua anakimbia kivyake wengine wanarusha mawe, wengine chupa na wengine nondo au aina nyingine za silaha za ujima ambavyo ndivyo vilimkumba mwenzetu. Niliuliza swali la msingi siku chache zilizopita lakini nikapingwa vikali na matusi juu.

Tuache ushabiki wa vyama, tuache kutafuta umaarufu kupitia damu za wenzetu, tuache kuvunja sheria kwa madai ya kutaka kuonesha tunahonewa.
Mabulangati = nape + Rejeo + Ritz + Majebere + mama polojo + chama gongolamboto + CUF ngangari
 
Basically Hata issue ya Ncha Kali si ya kupuuzia kwani kuna Vijana wengi wa Magamba wanasafirishwa kutoka Dar Kwenda kwenye Hiyo Mikutano na sijui mission yao!! Ila wakikamatwa wanadai ni wanunuzi wa Mazao Vijijini!!!

cdm haina utaratibu wa kusafirisha vijana kama ccm! Ni vyema kama una ushahidi uhuweke hapa jamvini!
 
Yaani watu wa falsafa pale UDSM wakiona hii mada watamshangaa sana mtoa mada.

Kama mtu alikua anafuatilia kwa makini swala la kuuwawa kwa binadamu mwenzetu kule morogoro hawezi kumwelewa mtoa mada na politiki. Nimshukuru ze marcopolo kwa kuuliza swali la msingi.

Risasi ni risasi hata palipopigwa risasi pa kioshwa namna gani pado itajulikana tu kuwa ni risasi. Kumbuka risasi ina kemikali isyopotea maana huingia kwenye damu ambapo ukipima damu tu au chembe za kwenye moyo utagundua ni risasi ama la. Pili CCM hawakutaja aliyemuuwa ni CHADEMA bali CHADEMA kutotii sheria ndiyo chanzo cha yote. Eti aliyoko karibu ndiye anayeweza kutambua aliyempiga??? Tambua wakati wa sokomoko hilo kila mtu alikua anakimbia kivyake wengine wanarusha mawe, wengine chupa na wengine nondo au aina nyingine za silaha za ujima ambavyo ndivyo vilimkumba mwenzetu. Niliuliza swali la msingi siku chache zilizopita lakini nikapingwa vikali na matusi juu.

Tuache ushabiki wa vyama, tuache kutafuta umaarufu kupitia damu za wenzetu, tuache kuvunja sheria kwa madai ya kutaka kuonesha tunahonewa.
Unawaona UDSM wapo juu sana? Kwa taarifa yako sasa hivi kifikra UDSM na vyuo vingine ni kama CCM na vyama vingine ikiwepo CDM.Kinawauma sana wale jamaa pale wakiona vyuo vinavyoibuka na kutoa wasomi, makini na watu wakipotezea ule upuuzi wao wa kijamaa chini ya henge la aina ya akina ponda wa elimu kam haroub othman, shivji na wengine.Wanatamani sana enzi irudi wakafelishe (wakiamini ndio wataonekana kuwa wapo juu )watu na kuletea taifa hasara.Walifanikiwa sana kuingia udini kwa mgongo waujamaa, na kupinga ubeberu.

Hao ndio wana falsafa na wazalendo wasiojua kuwa kama umewafundisha na wakaiva wanafunzi vyema wote wana haki ya kufaulu.Hawajui kuwa hadi mtu kuingia Chuo kikuu serikali imepoteza hela kiasi gani?hawajui wanafunzi wangapiwamekosa nafasi hadi mwanafunzi anayefelisha akafikia hapo.

Hawa ndio wanafalsafa ambao miaka yote wamekaa pale mlimani wakipigana majungu, pamekuwa na metedo ya kishenzi ya kuwakama wanafunzi kwa mamabo ya kijinga.Hao ndio wanafalsafa wanaoshitakiana kila mwaka ili wapate PHP?

Lazima utakuwa mwanaCCM ndio maana unaamini sana vitu vya kusadikika.
 
Nchi hii kuna Dubu linaitwa sheria, hili ni sababu kuu ya watawala kufanya wapendavyo ati tufuate sheria. Lakini mbona hii sheria wametungiwa watawaliwa pekee. CDM wakiandamana, mara nane nane, oooh al shababu, intelijensia, mgomo wa walimu, askari hawatoshi, uvunjifu wa amani, na upimbi mwingi tu. Mbona CCM hii sheria haiwahusu. Mnatulazimisha kuanza kuidai haki kwa nguvu, na mtambue kwamba tukichoka si sisi tu tutakaokufa bali kifo kitakuwa milangoni mwenu. Gombe una roho moja kama yangu, haijalishi mbele yako kakaa askari mwenye smg. Hamwezi kututangazia amani huku mnanyanyua bunduki na kutuua, hamwezi kujiita walinda usalama wakati mnatoa roho za watu. Only deads shall know the end of war. TIME WILL TELL WHEN THERE SHALL BE NO LONGER AT EASE.

Marvelous, yaani haya maneno yananifanya damu inichemke kuingia vitani sasa hivi nipambane na wezi wahuni wa ccm(polisi). wanatuchinja kwa kutuvizia, ila wajue siku kikinuka na sie tutachinja hata watoto wao na wake zao. haiwezekani wao wajione ndo wana haki zaidi ya kuishi kuliko wengine, hii nchi ni yetu sote, kwa nini wao wajiamulie tu kuua watakavyo. tuanawajua na tunaishi nao humuhumu mtaani, maadamu ni polisi kwa mienendo yao hii lazima ipo siku watabanana tu, hizo risasi huwa zinaisha hata kama umewaua 50, mwisho na wewe wanakuua. POLISI MSIJIFANYE NYIE NDO WATAALAMU WA KUUA MASIKINI WENZENU WAKATI MAJAMBAZI YA CCM YANAIBA MCHANA KWEUPE HUKU VIYOYOZI VIKIYAPEPEA NA BADO MNAYAPIGIA SALUTI, OLE WENU.

Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakani hili li-serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI
 
Basically Hata issue ya Ncha Kali si ya kupuuzia kwani kuna Vijana wengi wa Magamba wanasafirishwa kutoka Dar Kwenda kwenye Hiyo Mikutano na sijui mission yao!! Ila wakikamatwa wanadai ni wanunuzi wa Mazao Vijijini!!!
yeah..ndio maana option iliyobaki katika kuchakachua imebaki na ccm.So CCM wameisaidia polisi kujitoa ila wao wamebaki.
 
Nadhani mnazidi kuuona unyama wa so called sheria za mabwepande, tazama unyama walioufanya Iringa jana. Mpaka lini tutaendelea kukaa pembeni tukiwaangalia tu hali wakizidi kuua ndugu zetu? Ni unyama kiasi gani kuua mwandishi wa habari asiye na hatia? Hivi ni dhambi kuwapiga picha CHADEMA? NO, imefika wakati wa kuunda jeshi la ukombozi. We must fight for our brothers blood.
Marvelous, yaani haya maneno yananifanya damu inichemke kuingia vitani sasa hivi nipambane na wezi wahuni wa ccm(polisi). wanatuchinja kwa kutuvizia, ila wajue siku kikinuka na sie tutachinja hata watoto wao na wake zao. haiwezekani wao wajione ndo wana haki zaidi ya kuishi kuliko wengine, hii nchi ni yetu sote, kwa nini wao wajiamulie tu kuua watakavyo. tuanawajua na tunaishi nao humuhumu mtaani, maadamu ni polisi kwa mienendo yao hii lazima ipo siku watabanana tu, hizo risasi huwa zinaisha hata kama umewaua 50, mwisho na wewe wanakuua. POLISI MSIJIFANYE NYIE NDO WATAALAMU WA KUUA MASIKINI WENZENU WAKATI MAJAMBAZI YA CCM YANAIBA MCHANA KWEUPE HUKU VIYOYOZI VIKIYAPEPEA NA BADO MNAYAPIGIA SALUTI, OLE WENU.

Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakani hili li-serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI
 
Yaani watu wa falsafa pale UDSM wakiona hii mada watamshangaa sana mtoa mada.

Kama mtu alikua anafuatilia kwa makini swala la kuuwawa kwa binadamu mwenzetu kule morogoro hawezi kumwelewa mtoa mada na politiki. Nimshukuru ze marcopolo kwa kuuliza swali la msingi.

Risasi ni risasi hata palipopigwa risasi pa kioshwa namna gani pado itajulikana tu kuwa ni risasi. Kumbuka risasi ina kemikali isyopotea maana huingia kwenye damu ambapo ukipima damu tu au chembe za kwenye moyo utagundua ni risasi ama la. Pili CCM hawakutaja aliyemuuwa ni CHADEMA bali CHADEMA kutotii sheria ndiyo chanzo cha yote. Eti aliyoko karibu ndiye anayeweza kutambua aliyempiga??? Tambua wakati wa sokomoko hilo kila mtu alikua anakimbia kivyake wengine wanarusha mawe, wengine chupa na wengine nondo au aina nyingine za silaha za ujima ambavyo ndivyo vilimkumba mwenzetu. Niliuliza swali la msingi siku chache zilizopita lakini nikapingwa vikali na matusi juu.

Tuache ushabiki wa vyama, tuache kutafuta umaarufu kupitia damu za wenzetu, tuache kuvunja sheria kwa madai ya kutaka kuonesha tunahonewa.
Ndugu yangu muogope Mungu ,nahisi wewe ni nape au magamba, mambo yako wazi na ushahidi wa picha na mazingira vinaonyesha polisi wameua ,usishiriki laana hii maana haitaishia kwako bali kwa wanao na vizazi vyako.chadema siku zote wanafanya mikutano yao kwa amani kama polisi wasiposogea ,wakijifanya kusogea tu vurugu na mauji yanatokea ,watanzania wote tunaona na kulaani hilo.POLISI ACHENI CDM WELIMISHE WANANCHI BILA KUWATISHA naomba uwafikishie ujumbe maana ni wazi wewe ni mwenzao
 
Wadau naomba msaada kama ipo ndani ya uwezo wenu. Naulizia nani alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utumishi katika kipindi cha miaka ya 1983-1985. Natanguliza shukrani.
 
Nawajua wawili waliokuwa Katibu Mkuu Utumishi miaka ya themanini: Joseph Rugunyamheto na William Shellukindo. Specific dates sina sana hakika.
 
Kuna swali najiuliza,sijawah kupata MAJIBU,,,,mauaji haya yanayofanywa na polisi wakat yakifanyika VIONGOZ WAANDAMIZ WA CHADEMA HUWA HAWAPO AU????ARUSHA WAMEULIWA WATU WA 5,MORO MMOJA,SINGIDA MMOJA,,,,
SASA KWA KESI YA ARUSHA NA MORO ZAFANANA,JE POLISI HUWA HAWAWAIN HAWA VIONGOZ,,,,(SIMAANISH NAO WAUAWE)
NAOMBA JIBU
Usituulize sisi waulize hao polisi mnaowatuma kuua. Hata kama mnatafuta usiku na mchana kuwaua viongozi wa cdm Mungu wa mbinguni anawalinda na lisasi zenu.
 
Nchi hii kuna Dubu linaitwa sheria, hili ni sababu kuu ya watawala kufanya wapendavyo ati tufuate sheria. Lakini mbona hii sheria wametungiwa watawaliwa pekee. CDM wakiandamana, mara nane nane, oooh al shababu, intelijensia, mgomo wa walimu, askari hawatoshi, uvunjifu wa amani, na upimbi mwingi tu. Mbona CCM hii sheria haiwahusu.....

Nimeipenda kazi kwa magamba kubadilika
 
Watanzania tuamke, TUIKATAE CCM, tuwaambie kwamba wanaua ndugu zetu kwa tamaa yao ya madaraka ilhali uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kuliletea maendeleo hawana, TUANZE KWA KUISUSIA CCM NA SERIKALI YAKE, TUSIENDE KWENYE MIKUTANO YOYOTE ILE ITAKAYOITISHWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) WALA SERIKALI YAKE, TUSIENDE KWENYE MAANDAMANO YOYOTE YATAYOITISHWA NA CCM WALA SERIKALI YAKE, wakishajiona hawatakiwi watashika adabu, watasimama jukwaani wao wenyewe na kuwahutubia watu wawili na kuona aibu na kuondoka, ikifikia hapo ndipo watakapokaa chini na hawana jinsi yoyote iliyobakia isipokuwa ni kuondoka madarakani, lakini wakiwepo WAPUMAVU WACHACHE, narudia tena WAPUMBAVU HATA WACHACHE TU ambao watajitokeza kuwasikiliza hiyo itatosha kabisa kuwafanya CCM wazidi kung'ang'ania madaraka hata kwa gharama ya maisha ya ndugu zetu, HIMA WATANZANIA WASUSIENI HAWA NA MWISHO MUWAADHIBU KWENYE SANDUKU LA KURA KWA KUTOWACHAGUA TENA.
 
Back
Top Bottom