Cream ya Photoshop

badshah

Member
Mar 16, 2013
51
32
siku hizi watu wanang'aa katika mitandao ya kijamii kwa kutumia cream ya Photoshop. cream hii hata uwe na uso kama fenesi lakini zinatolewa zoooooooooote unakuwa na sura mpyaaaaaaaaaaaaaaaa!!! ngoma upate appointment ya kuonana weeeeeehhh kazi inakua hapo sasa.
photoshop cream.jpg BEFORE AFTER 2.jpg
http://www.staryte.ucoz.com
 
Back
Top Bottom