CRDB tawi la Mbezi ni kero tupu

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,969
Yaani watu tunakuna kushinda benki badala ya kuhudumiwa na kwenda kufanya kazi nyingine.

Mimi nipo hapa zaidi ya masaa mawili. Counter zipo nne moja inashighulikia watu wa mitandao ya simu. Zingine tatu ni kwa wateja wa kawaida wa benk lakini iliyo na mhudumu ni moja tu. Yaani ni shida naye akipata changamoto akiingia huko ndani atakaa zaidi ua dakika kumi.

Hizi benki za kitanzania huwa wanaona sifa wateja wanapokuwa wamejazana wanasubiri huduma ambayo kimsingi inapaswa kutolewa ndani ya dakika kumi. Waweke sasa matangazo kuoneaha muda mteja anaopaswa kusubiri huduma ili mtu aamue kusubiri au kuondoka
FB_IMG_1698843370076.jpg
 
Back
Top Bottom