CRDB Mumekuwa mkilalamikiwa sana humu kutokana na kukata hella za wateja wenu kutoka kwenye akaunti zao bila sababu au hata kutoa taarifa.
CRDB ni kwa nini mnaleta huu wizi, wateja wamewaamini na kuamua kutumia benki yenu kuhifadhia pesa zao na kufanya biashara, lakini jambo ambalo linawashangaza wateja wenu wengi kwa sasa ni hili la kukata pesa kidogo kidogo kutoka kwenye akaunti ya mteja bila sababu au kumpa taarifa ya makato hayo.
Mnakata hella kidogo, kama mteja siyo mfuatiliaji wa transctions zake anazozifanya kupitia benki yenu siyo rahisi kugundua wizi huu
Tafadhari sana, CRDB ninyi ni benki inayoaaminika hivyo kama mnafanya hivyo kwa maksudi acheni mtaanza kupoteza credibility yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Acheni kukata hella za wateja wenu, mnawaibia.