CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

Coronaviruses are a group of related virusesthat cause diseases in mammals and birds. In humans, coronaviruses cause respiratory tract infections that can be mild, such as some cases of the common cold (among other possible causes, predominantly rhinoviruses), and others that can be lethal, such as SARS, MERS, and COVID-19. Symptoms in other species vary: in chickens, they cause an upper respiratory tract disease, while in cows and pigs they cause diarrhea. There are yet to be vaccines or antiviral drugs to prevent or treat human coronavirus infections

Pitia coronavirus ktk wikipedia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, kaka inaonekana wewe hujui machapisho ya kisayansi yanavyotolewa, huwa yanatolewa na kuchapishwa katika "official Medical and Scientific Books and News paper/Journals", Kaka wikipedia haikubaliki kama credible source duniani, sasa hivi ninaweza kubadilisha chochote na kuweka kile nikitakacho hapo wikipedia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuamini, jana nimemsikia waziri wenu na koinange sijui, akisema hivyo, zimeongezwa lini wakati jana ndio mmeanikwa hamna maabara zote hizo buda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sielewi unachobisha, nimekuambia zilikua mbili na kuongezwa zaidi,
Unasababisha nihangaike kutafuta taarifa, kitu ambacho unaweza kukifanya ukiacha uzembe, soma hii article ya mwezi jana wakati kituo cha tatu cha Eldoret kiliongezwa ili kuwapiga tafu KEMRI na National Influenza Center.
Hayo ya uliskia waziri unayajua wewe, ila mimi nakupa taarifa ambazo zimekua published.

MTRH as a national testing centre for Covid-19 to complement the National Influenza Center and Kenya Medical Research Institute (Kemri).

Kenya to roll out Covid-19 testing centre in Eldoret
 
Hahahaha, kaka inaonekana wewe hujui machapisho ya kisayansi yanavyotolewa, huwa yanatolewa na kuchapishwa katika "official Medical and Scientific Books and News paper/Journals", Kaka wikipedia haikubaliki kama credible source duniani, sasa hivi ninaweza kubadilisha chochote na kuweka kile nikitakacho hapo wikipedia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusaidie wewe unayejua maandiko yalipo yanayobishana na hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusaidie wewe unayejua maandiko yalipo yanayobishana na hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utasemaje kubishana na kitu wakati hakuna science yoyote iliyowahi kutaja au kufanya utafiti kuhusu maisha na virusi katika nchi za Africa?. Tafiti zote zinafanyika kwa ajili ya dunia nzima, ukiambiwa Corona inashambulia binadamu, ujue ni binadamu popote alipo duniani, sasa wewe unayeanza kuigawa dunia na kusema Africa ni tofauti na dunia zingine, unapaswa kuonyesha utafiti unaosema hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa utasemaje kubishana na kitu wakati hakuna science yoyote iliyowahi kutaja au kufanya utafiti kuhusu maisha na virusi katika nchi za Africa?. Tafiti zote zinafanyika kwa ajili ya dunia nzima, ukiambiwa Corona inashambulia binadamu, ujue ni binadamu popote alipo duniani, sasa wewe unayeanza kuigawa dunia na kusema Africa ni tofauti na dunia zingine, unapaswa kuonyesha utafiti unaosema hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua kwa nini wanasema tuoshe mikono??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali leta "link" tujisomee wacha maneno mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka uamini maneno yangu.
Na hili ni la mwisho kutumia akili yako,kama hutaki endelea kusubiri link.

Tazama nini hutokea wakati wa baridi msimu wa kipupwe!!!
Au

Nini hutokea wakati wa masika pale mtu anapomnyeshewa na mvua kwa muda mrefu
Au
Nenda maeneo yenye baridi kali au maeneo ya milima kwa ambaye hakuzoea maeneo hayo

Mafua huchuruzika kama maji na kifua kubana ndio matatizo yatakayojitokeza.

Kwa maneno mepesi
Kama hutaki siwezi kukulazimisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lingine usilolijua,mataifa makubwa yote,huduma za afya ni biashara.Huwezi kuamka na kumkuta daktari anakusubiri.
Ili utibiwe ni lazima uombe na kupangiwa siku hivyo ktk dharura kama hii hospitali zitawahudumia wateja wao tu na si kwa kiwango cha mlipuko kama uliojitokeza.
Kwa kukumalizia ili usubiri link,
Ulaya hawahangaiki kwa sababu ni ugonjwa mpya bali wanateseka na mifumo yao ya kuwahudumia wagonjwa kwa dharura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba zimetimia 122, zoezi la kupima wengi kwa pamoja linaendelea.
 
Kati ya 372 waliopimwa jana, wanne (4) wamepatikana nacho.
Dah ila huu upimaji ni mzuri, yaani watu 372 kwa mpigo mmoja.
 
Ndani ya masaa 24, Kenya imefaulu kupima sampuli 532 na kugundua kesi 16, hivyo namba zimeongezeka na kuwa 142.
 
Endeleeni kupima mnachokitafuta mtakipata

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe!!! Nyie mumeamua kujificha, ona mlivyomshambulia Makamba baada ya yeye kuhoji kuhusu kupima kwenu huko...

2358439_Screenshot_20200405-094343.jpeg


2358438_Screenshot_20200405-094404.jpeg
 
Hizi solution unazotoa hakuna nchi zimework out...
Hili Corona baya sana.


Ila naomba Nchi yangu Tz isiingie lockdown, eti tugawiwe wali maharage, hizo kuni za kuivisha maharage, watatuletea?


Ulaya wanaweza cause wamezoea, canned food ambazo viwanda ni vingi huku kwetu, ni viburudisho tu ndivyo canned kwa wingi.


Lockdown iwe kwa baadhi ya miji bado sioni ni suluhisho slums ni mkusanyiko tosha. Muhimu tahadhari muda wote.


Kuna kitu naamini, bila panic it is easy to deal with covid-19 maana mwili unakuwa positively, kwenye panic yaani mwili unashindwa kubalance stress, hofu, uoga, na ugonjwa wenyewe. Hapo ndipo majanga.



Mungu saidia.
 
Ukiona hawataki kukukabidhi maiti ya ndugu yako ndio utajua hujui...
Rwanda hawaruhusu mtu kutoka ndani ya nyumba yake lakini maambukizi yanaongezeka embu jiulize sisi Tanzania mipaka yetu ipo wazi, raia tunabanana kwenye madaladala, halafu tunaambiwa wagonjwa wapo 20 big no aisee..

Watanzania tutakufa ila hatutatangaziwa ugonjwa uliokuua
 
You are missing the point. Leo Kuna kionhozi US alikuwa anasema tena mbele ya waandishi wa habari kwamba kwa jinsi hali ilivyo kuna uwezekano mpaka janga liishe watu 100k watakuwa wamekufa ndani ya ardhi ya marekani....
Hakuna mtu mpumbavu Kenya Kama mtu mmoja anaitwa254,Yani hata majanga unashabikia!! Eti nilitegemea hii kadir tunavyopima kwa mkupuo bwebwe zoote hizi ili musionekane wazembe kwahiyo unatuaminisha corana haizuiliki ukiona una idadi chache ujapima kwa mkupuo si ndio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Africa watu wengi wanaugua magonjwa yasiyoambukiza. Ukiona namba za vifo zimeanza kuskyrocket wala hata usishangae....
Africa iko na average life span ya 60 years.. Wazee wengi walishauliwa na magoonjwa mengine kama TB, malaria, cholera, HIV..etc kwahivyo watu wasitarajie kuona waafrica wanaanguka kwa wingi kama kule uingereza ambako watu wazee ni wengi sana, na hata wale wazungu ambao si wazee sana hua tayari ni wakongwe alafu ukiuliza miaka unapata hata bado yuko 57 au ndo ameingia 60
lakini kwa upande mwengine pia, kuna wale walio na virusi vya ukimwi ambao immunity yao iko chini, kwahivyo huwezi jua hali itaendaje huku AFrica
 
Back
Top Bottom