Countries worth joining hand with Tanzania

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Leo nimeamua nimkumbuke Dr Ngasongwa alikuwa akihojiwa pale ch ten akasema Tanzania kama kuungana inabidi kuungana na nchi kama Angola na Congo bse they have a lot of things in common hasa kwenye uwanaja wa natural resources ie mafuta,dhahabu,uranium,coal etc
Sasa as a result tunataka kuungana na watu ambao resources watazitoa kwetu alafu wataishia kutuuzia produced goods out of our own resources.Mbaya zaidi watu ambao wametuchezea rafu mda mrefu kama kuutangaza mt kilm kuwa uko kwao,once leading in tanzanite export,watu ambao wana uhaba wa ardhi etc
Naona kuna haja ya kurethink on the EAC maana tusije tukawa wa kuvunwa tuu!
Ni hayo tuu kwa leo
 
Back
Top Bottom