Countdown to a new state 2 days remaining.

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
God bless africa.

Zimebakia siku tatu tu, south sudan referendum.Lets hope everything goes well with voting.

God bless south Sudan

God bless afrika.
 
God Bless SUDAN, and yes we want a new natio of South Sudan.Can't wait!
 
God Bless SUDAN, and yes we want a new natio of South Sudan.Can't wait!

Kwa nini ukae na watu wanaokuua na kukupeleka utumwani? North Sudanese are phychos they are africans but think of themselves as 'arabs'.

Huwezi ukaishi na watu kama hawa.
 
Binafsi sinadhani kama SECESSION ndio solution ya matatizo mbalimbali yanayolikumba bara la Africa. Lakini kuhusu suala la Sudan, ambako marginalization na ecxlusion of minorities ndio zimekuwa sheria za nchi, nadhani secession ndio solution. La kusikitisha ni kwamba, Africa wanapata nchi mpya, na ambayo ni Landlocked country. Hiki kitakuwa kikwazo kikubwa sana kwa mtoto huyu mpya.

Otherwise nawatakia kilala kheri ndugu zetu wa Southern Sudan.
 
Kwa anaedhani taifa la Sudan Kusini litakuwa na amani, akae afikiri upya
 
Msemo wa Nyerer kuwa Dhambi ya Ubaguzi haiishi huenda ukaprove failure hapa!

Some months ago niliwahi kukutana na Msudani(ya kusini) mmoja, akanieleza kwa kina unyanyasaji na shida wanazokumbana nazo, kweli niliomba ndoto yao igeuke kuwa ukweli...ni mtu mzima , lakini anaeleza hadi analia, nikamwambia, Broda, ihave understood you, just stop it and God will not abandon you.

Ni bora sana wabaguane kama weusi wenyewe kwenye nchi yao mpya, kuliko hali ilivyo hivi sasa ambapo wanaonekana kama takataka mbele za wananchi wenzao -Sudan Kaskazini.

Ni kweli Sudan ya Kusini itakuwa Landlocked, lakini kwani ni nchi ngapi za Africa ziko Landlocked?...Initially watasaidiwa na jumuia ya Kimataifa ili wa'take-off, baadaye watasimama kwa miguu yao...Its not too late!

Nawasupport kwa asilimia nyingi, na Mungu awaunganishe baada ya tukio la kuachana na Kaskazini.!

w240.jpg
w310.jpg
 
w560.jpg

Mtoto huyu wa Sudan Kusini hajaonja na wala hajui amani!
Mungu saidia hawa...Freedom is coming tomorrow!
 
Kwa anaedhani taifa la Sudan Kusini litakuwa na amani, akae afikiri upya

Tumefikiri sana na tumelifuatilia hili suala sana,we have no reason to be pessimistic na baraka zimeanza kuonekana kwa nchi kubwa duniani kusema kwamba zitaisadia kujijenga,tunawaombea na mapenzi ya Mungu yatimizwe kesho.
 
Back
Top Bottom