Count down on Mzee wa Monduli

huyu jamaa jamani mtambue, huyu sio ngozi nyeusi...ni rahisi kwa yy kustep down kuliko ngozi yetu hii nyeusi!!
Kumbuka yy mambo yake mengi ya kibiashara hayaendi, coz of siasa uchwara, na biashara zake ndizo hasa zinazomuingizia
mtaji mkubwa kuliko siasa uchwara!! Ni bora alivyoamua kukaa kando kudeal na bisinez zake, ngozi nyeusi ni ngumu kuacha siasa za uchwara na mnaona akina ngeleja chenge woteee hawa ilibidi wastep down kitambo lakini ndugu yangu Miafrika ndivyoo Tulivyo!!
 
Mr L kufa nao hao magwanda wenzio wanataka kukutosa wakati mmekaa kwenye mkeka na kunywa juice pamoja, ulijua rostam atakutosa kirahisi na wewe cheza na ccm na hakikisha unakwenda na shingo ya kikwete au uraisi wake wakuiba. Ukijitoa tu, kikwete atakugeuka vibaya na kutaka donors wamwone anafanya kazi juu ya kucha zako na mbaya zaidi watakuleta charges fake na kukuzeesha haraka.

People don't just walk away easy like that mr L, fight a good fight you might be a candidate for presidency. Mbona kikwete yeye mlikubaliana atakuachia na sasa anataka kumwachia shehe mwingine? fight man
 
I think most of us in this forum are just hypocrites for we keep on blaming these politicians like Rostam or Lowassa while we never blame those who have voted for them. The malicious and ridiculous allegations directed to Rostam or Lowassa are just based on mere speculations. Some folks are just after EL/Rostam because of their own personal political gains. There's no concrete evidence to suggest that EL/Rostam are involved in grand corruption. They are both innocent till proven guilty by the court of law and not street justice. Don't blame EL/Rostam for whatever crap you wanna pin them upon, instead you can deal with the wananchi who have put them in power!!
Gud night and Good luck!
Do u think hawa leaders were real people's choice?
Hosi Mubaraka won presidential election for more than 80% but ulijionea how maandamano yalivyokuwa makubwa kumtaka aondeke.
Yoweri M7 anaogopa nini wakati alipata than 69%?
In Africa chaguzi ni kanganyaboya so unajianika mwenyewe
 
Unajuwa RA pia si Mtanzania lazima aagope sana ukilinganisha na EL na Chenge, ila sijauwa mpira utaendaje maana hii inaonyesha wazi kuwa kuna jambo laja maana hamna kitu RA hasinge gwaya
NATHANI hiki cha uhindi ndicho kimempa woga RA.
Lowassa hatajiondoa kwa namna yeyote ile.
 
Raj where are you in this country or Canada? If you are in Tanzania you are not reading the news!! Everyone knows what they have done. It is not fair because this country belongs to us too.
I think most of us in this forum are just hypocrites for we keep on blaming these politicians like Rostam or Lowassa while we never blame those who have voted for them. The malicious and ridiculous allegations directed to Rostam or Lowassa are just based on mere speculations. Some folks are just after EL/Rostam because of their own personal political gains. There's no concrete evidence to suggest that EL/Rostam are involved in grand corruption. They are both innocent till proven guilty by the court of law and not street justice. Don't blame EL/Rostam for whatever crap you wanna pin them upon, instead you can deal with the wananchi who have put them in power!!
Gud night and Good luck!
 
Nakubaliana na wazo kuwa EL na AC hawawezi kujitoa kama RA. Kama watang'ang'ania basi WAFUKUZWE haraka kabla mambo hayajapoa.
 
RA kwenye speech yake ya kuwaaga wazee wa Igunga amesema hajajiuzulu vyeo vyake vyote kwasababu ya KUJIVUA GAMBA!
Yeye ameamua kujiuzulu vyeo vyake kwa UTASHI WAKE MWENYEWE baada ya kuona kuwa yeye kama MFANYIBIASHARA WA KIMATAIFA hawezi kuendelea kuzalilishwa na SIASA UCHWARA ZA CCM!

Kwamba RA amesikitishwa sana na viongozi waandamizi wa CCM akiwataja kwa majina kuwa ni NNAPE NAUYE na JOHN CHILIGATI ambao wameendelea kumchafua KUWA NI FISADI kwa malengobinafsi ya KITI CHA URAIS 2015. RA ameweka wazi kuwa NNAPE na CHILIGATI wamepotosha kile kilichozungumzwa na kuazimiwa na NEC kwa kuwataja kwa majina yeye RA,EL na AC.

Kwa maneno haya ni kwamba RA hajajivua gamba baali amejiuzulu tu kwasababu ya kuchafuliwa. Sasa inapokuja kwa mzee wa RICHMONDULI al-maarufu kama EL, na kwa mzee wa VIJISENTI al-maarufu AC usitegemee chochote kuwa watafanya kama RA. These 2 guys are hardcore corrupted. Hawatajiuzulu NG'O! Nakumbuka EL alimfuata Kiwete kumwuliza kuhusu KUJIVUA MAGAMBA kama EL,RA na AC ndiyo walikuwa walengwa.Nasikia alichojibu Kiwete ni kwamba HAKUNA KITAKACHOTOKEA kwake wala kwa hao wenzake!

Anyway tusubiri tuone mwisho wa zoezi hili. After RA who will be next and what next for CCM if at all the 3 MAIN MAGAMBAs are gonna resign????
Yetu macho,tusubiri.
 
]pamoja na mapesa yake[/COLOR],lakini kisiasa za ccm,Rostam ni mdogo sana kwa EL.EL ndiye kizingiti haswaa kwa ma potential aspirants wote wa 2015 na hata wale wanaotaka kuweka watu wao!

Ana biashara gani ambazo akiacha siasa atakuwa anatoka nyumbani kwenda ofisini kwake na kurudi nyumbani jioni? Mimi nipo Arusha ila sizifahamu hizo pesa zake ziko kwenye biashara ipi.
 
RA amefanya hili ili kumpa JK nguvu nma kumtegea Mamvi ila sasa mamvu mzoefu na aan ngozi ngumu hawezi kucheza ngoma ya RA .Kama huamini you wait and see .Lowasa ana heshima kubwa ndani ya CCM kuliko JK .Mfano uliona juzi akichangia ni makofi hadi anakaa chini .Now wait and see ngoma nzito .

Hongera Slaa umeweza baada ya muda mrefu sana list of shame .

Nakubaliana na wewe mkuu. Hii move ni ya RA itakuwa na msumkumo wa magogoni lengo likiwa ni kumzunguka EL. The question is, knowing what what he knows wa kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa RA atakuwa loyal Magogoni au Monduli?
 
Sijajuwa kwanini JF wana Bann matuzi ya maneno lakini matuzi ya picha hawana shida nayo

avatar30905_1.gif
 
I think most of us in this forum are just hypocrites for we keep on blaming these politicians like Rostam or Lowassa while we never blame those who have voted for them. The malicious and ridiculous allegations directed to Rostam or Lowassa are just based on mere speculations. Some folks are just after EL/Rostam because of their own personal political gains. There's no concrete evidence to suggest that EL/Rostam are involved in grand corruption. They are both innocent till proven guilty by the court of law and not street justice. Don't blame EL/Rostam for whatever crap you wanna pin them upon, instead you can deal with the wananchi who have put them in power!!
Gud night and Good luck!

a WANANCHI DID NOT VOTE FOR THEM. ITS THEIR CORRUPT MONEY WHICH VOTED FOR THEM DEAR RAJ PATEL.
 
LOWASA usijiuzulu ukijiuzulu umekwisha you have to fight with every thing you have. ww usifuate uamuzi wa ROSTAM AZIZI.we trust you go aheard man.
 
I think most of us in this forum are just hypocrites for we keep on blaming these politicians like Rostam or Lowassa while we never blame those who have voted for them. The malicious and ridiculous allegations directed to Rostam or Lowassa are just based on mere speculations. Some folks are just after EL/Rostam because of their own personal political gains. There's no concrete evidence to suggest that EL/Rostam are involved in grand corruption. They are both innocent till proven guilty by the court of law and not street justice. Don't blame EL/Rostam for whatever crap you wanna pin them upon, instead you can deal with the wananchi who have put them in power!!
Gud night and Good luck!

It is your opinion...
 
Jamani swala la el ni kugumu kidogo.kwa waliokuwa wanafatilia siasa hizi ilishadokezwa muda mrefu kuwa ra na chenge walishaamua kujivua tatizo ni kwa el.bcoz anandoto za kuwa raisi so si rahisi akajivua na ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa ameanza kujijenga kwa nguvu sana sasa hiv.tusubili tuone.
 
Kama aliweza kujiuzulu u waziri mkuu anaweza akazitema nyadhifa zote alizo nazo na chama chenyewe CCM.Ila kama ana ndoto za kutaka kuukwa uraisi kwa tiketi ya CCM hatasalimu amri labda wamfukuze.Sio kweli kwamba anaipenda CCM kwa dhati, CCM ni mtaji,CCM ni Ulinzi wa mali zake,CCM ni kinga ya kula bila kunawa.
 
unafikiri rostam kajivua gamba bure,lazzima yalikuwepo maelewano na JK,probably kuna deal lingine design ya kagoda aliloaidiwa...i can smell something fishy behind this saga....
 
Ni CCM inajivua gamba jamani sio Rostam wala Lowasa. Lakini Lowasa alishajitolea sana alipouvua UwaziriMkuu. Na Chenge naye aliuvua uwaziri mtamu kuliko uwaziri wowote wa MIUNDOMBINU. Sidhani kama watakwenda zaidi ya hapo.
 
Ewe mtukuka Lowasa usikubali kufa kibudu, kama kutoka lazima utoke na mtu, haiwezekani mihela ile mliyokwiba mle wote leo Chama chooooooooooooooooote cha mafisadi muonekane watu watatu tu, hapana usikubali kabisa kama noma na iwe noma mpaka kieleweke.Halafu mtukuka Lowasa tunasubiri lile movie ulilokwenda kufanyia editting Nigeria kwa hamu, naamini siku likitoka mtoto hatumwi dukani, kwi,kwi,kwi,kwi!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom