Count down on Kiwira's report

Mi nazani tatizo liko kwa wabunge wetu. Katika issue ambazo wabunge walitakiwa kujadili katika kikao cha mwisho (january) ni kiwira lakini cha kushangaza wakaingiza issue ya Laurence masha na kusababisha Kiwira kubaki hewani. Wabunge wanatakiwa kuwa na msimamo kwa ajili ya maslahi ya Taifa. Tusubiri Kikao cha mwezi wa nne tuone hiyo issue kama itajadiliwa na tunaambiwa kuwa mwekezaji kiwira kaingia mitini.
 
Nadhani anasubiri aulizwe!!!!!!!!! Linchi hili sijui litabadilika lini?

Kama aliahidi mwenyewe, tena anasubiri aulizwe. Lakini ndio tunavyokwenda, kwa kuwa upepo uligeuka ukawa kwa mitambo ya Dowans, anakaa kmya kuhusu Kiwira. Ikianza tena kelele ya Kiwira atasema tena ripoti iko tayari. Wanakwenda kwa shinikizo.
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani Ngeleja alivyoelemewa na Wizara ya Nishati. Bahati mbaya Boss wake naye kuendesha nchi kumuelemea kilichobaki ni kufanya usanii tu.
 
Back
Top Bottom