Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

According to the same Africa intelligence the
Rail projects is heading for the buffers
Cross-border rail projects between Tanzania, Rwanda and Burundi.
For all the hype, the future cross-border rail link projects are going to struggle to remain on track. According to well informed sources SGR itamalizia Makutupora . Na sasa tunakarabati reli ya zamani kufikia Rwanda , Burundi na DRC

IMG_5429.JPG

Sent from my iPad using JamiiForums
 
View attachment 1395523

Sent from my iPad using JamiiForums
Yaani SGR haikua inapitia mji wa Dodoma? Capital city of Tanzania?
Itabidi Tanzania ichuke expensive commercial loans $10b kumaliza reli mpaka Kigali na DRC, sijui kama Tz ina nafasi kwenye bajeti kulipa loan kama hizi bila kuumiza sector zingine za economy. Kenya $5b pekee imekua heavy eater ya budget na Kenya collects double the taxes and almost double GDP , mombasa Nairobi is busy and generating good revenues.
Sasa hii reli ya Tz itabeba nini? Rwanda na Burundi are tiny economies and only DRC minerals will make this railway slightly viable, otherwise hapa mimi sioni reli hii ikifika kigali hivi karibuni. Ukitaka kujua project inaoneka viable, loan come from development partners kama world bank, afdb, exim bank, au bilateral loans which are cheap, ukiona loan ya benki yakawaida, jua hio ni political project.
Reli bila kufika bandarini na kufika DRC ni white elephant tupu....
 
😂😂😂😂 Ccm Aki mungu anawaona
 
Asante kwa kukubali ya kutokua na uhakika kuwa SGR itafika bandarini.
Ubebaki kuwaza itakuja kwa tenda nyengine.
Ukweli hamna tenda mpya TRL wanakarabati tu njiaza zamani mpaka kibaha. Kaulize lumumba utaambiwa

Sent from my iPad using JamiiForums
Nina uhakika itafika bandarini..ulitaka wajenge muda gani..SGR wakati flyover haijakamilika bado ..au ulitaka reli ipite wapi cause hii flyover ikijengwa ndo kutakuwa na nafasi kubwa chini ya kupitisha reli....au huelewi hilo..
Ulitaka ujenzi wa reli usubiri flyover ikamilike ndo kisha uanze?
Ulitaka tumlipe Yapi kujenga reli kwenda bandarini bila kuwa na uhakika flyover itajengwa lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani SGR haikua inapitia mji wa Dodoma? Capital city of Tanzania?
Itabidi Tanzania ichuke expensive commercial loans $10b kumaliza reli mpaka Kigali na DRC, sijui kama Tz ina nafasi kwenye bajeti kulipa loan kama hizi bila kuumiza sector zingine za economy. Kenya $5b pekee imekua heavy eater ya budget na Kenya collects double the taxes and almost double GDP , mombasa Nairobi is busy and generating good revenues.
Sasa hii reli ya Tz itabeba nini? Rwanda na Burundi are tiny economies and only DRC minerals will make this railway slightly viable, otherwise hapa mimi sioni reli hii ikifika kigali hivi karibuni. Ukitaka kujua project inaoneka viable, loan come from development partners kama world bank, afdb, exim bank, au bilateral loans which are cheap, ukiona loan ya benki yakawaida, jua hio ni political project.
Reli bila kufika bandarini na kufika DRC ni white elephant tupu....
10bn usd imefikaje ..reli inafika dodoma na inaenda makutupora ni sehemu mbilu tofauti..kuhusu DRC ...itachukua muda ..cause ni tender kati ya rwanda na DRC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina uhakika itafika bandarini..ulitaka wajenge muda gani..SGR wakati flyover haijakamilika bado ..au ulitaka reli ipite wapi cause hii flyover ikijengwa ndo kutakuwa na nafasi kubwa chini ya kupitisha reli....au huelewi hilo..
Ulitaka ujenzi wa reli usubiri flyover ikamilike ndo kisha uanze?
Ulitaka tumlipe Yapi kujenga reli kwenda bandarini bila kuwa na uhakika flyover itajengwa lini

Sent using Jamii Forums mobile app

Kupitisha reli chini hakuzuii kupitisha daraja juu.
SGR imepita sehemu nyingi ambako kuna barabra.
Mshalikoroga sasa panga pangua. Tatizo ya kutoshaurika wala kuambilika.
Hakuna lolote la pamoja . Sasa tutabaki flyover sijui mara hio ni daraja lenyewe ndio la SGR.
Hebu mkubali tumeingizaa choo cha kile tu.
Na ile main station ndio kichekesho cha mwaka . Yaa watu hakuna vision kabisa

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nina uhakika itafika bandarini..ulitaka wajenge muda gani..SGR wakati flyover haijakamilika bado ..au ulitaka reli ipite wapi cause hii flyover ikijengwa ndo kutakuwa na nafasi kubwa chini ya kupitisha reli....au huelewi hilo..
Ulitaka ujenzi wa reli usubiri flyover ikamilike ndo kisha uanze?
Ulitaka tumlipe Yapi kujenga reli kwenda bandarini bila kuwa na uhakika flyover itajengwa lini

Sent using Jamii Forums mobile app
Reli hua haifiki bandarini kwa mdomo ila kwa matendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe uko mji gani ? Uashawahi kuogelea Pwani ? View attachment 1395424Maana unavo hangaika ku screenshot video bilaView attachment 1395423 kujua hizo railing ni za kitu gani. Aidha ushamba wa kutowaji kuogelea pwani kuona bandari au kupotosha makusudi kulaghai.
Hizi screenshot zako sio njia za reli hizi ni njia za Container terminals ambazohutembea hapo wakati ikishusha containers kutoka kwenye meli hadi kwenye Trucks.
Tungekua na rail hapo basi ungeona njia za SGR pembeni hivo container ikushushwa kutoka melini inapakiwa kwenye trai moja kwa moja.
Baadhi ya picha kutoka bandari ya Mombasa na nje ikionesha Njia za Container terminalsView attachment 1395422b View attachment 1395426

Sent from my iPad using JamiiForums
Yani alivyo screenshot hyo video alikuwa anamaanisha hyo ndio sgr..
Km ni hvo kwel basi atakuwa kachemsha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa vile mradi uko nyuma sana kuliko ratiba yake. Ni vema sasa mradi uka simamishwa na fedha zikaelekezaa kupambana na Corona.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Na kwa vile mradi uko nyuma sana kuliko ratiba yake. Ni vema sasa mradi uka simamishwa na fedha zikaelekezaa kupambana na Corona.

Sent from my iPad using JamiiForums
Zitatosha? Hapo man ni Maombi ndugu yangu, bidii peke yake ni bure ratiba ziendelee Mungu atatupigania.

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Watu povu litawatokeeeee mpaka mkome. Mbona south Africa bandari kuu ni durban lakini wana treni ya umeme joburg to Pretoria. Kwani lazima hiyo treni ibebe mizigo! !? Tutapanda wenyewe kwenda moro. ....na kwenye mashamba yetu ya mpunga ruvu. Na ole wenu mje kuomba chakula huku. Shenzi tym! !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Mzee usikubali upotoshaji huu maelezo yote yapo online SGR itafika mpaka kwenye berths kutokea Ilala Shaurimoyo kupitia underpass daraja la gerezani! BTW ujenzi wa viaduct unaonyesha hilo! Kinachotokea ni pilikapilika za miradi BRT na DMGP zimesababisha kusubirisha ujenzi wa line ya SGR cargo!
 
Back
Top Bottom