Cooperative Officer G rade II.

Baghari

New Member
Mar 28, 2012
3
0
Hallo to you all great thinkers, hope cool. Vp kuna mtu an information za kuitwa usaili wa afisa ushirika daraja la pili? Zilikuwa post 45. My self cjaona kama utumishi wameita but kuna mtu mmoja kanipa info ambazo nahic co kwel eti zile post wanatuma tu barua za kuitwa kazini bila interview but i dont think so! Alafu huu mtindo wa kuita watu 2000 post hata hazifiki 10 unanikera sana!!!! What for???
 
Hakuna kitu kama hicho mininachojua wanaoitwa niwale waliokwisha fanya usaili ila nafasi zikawa chache sasa wale waliochaguliwa. Kama hakuripoti inabidi aitwe alie mfuatia kufaulu ktk ule usaili ndipo unapigiwa cm ila kama hujafanya hata usaili haiwezekani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom