Container 20ft Linakodishwa Chang'ombe

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,467
29,167
Container la 20ft linakodishwa Chang'ombe toroli,
Liko barabarani kabisa, along barabara itokayo Serengeti Brew.
Limepigwa Rangi ndani na nje, pia kuna Gypsum kwa ndani.
Kodi ni Tshs 70,000/= kwa mwezi ambayo inalipwa kwa miezi 6.
 
Back
Top Bottom