Contacts za huduma kwenye line ya voda ni kero

Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
4,829
6,378
Naomba wajuvi wanisaidie. Ukiweka line ya voda kwenye simu, kuna contacts kibao zitaonekana. Mfano: customer care, ambulance, crime na nyinginezo.

Mbaya zaidi ukijaribu kuzifuta hazifutiki (kwenye smartphone). Sijui ni simu zote au la.

Naomba msaada namna ya kuzifanya zisionekane kwenye orodha yangu ya contacts.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom