Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

Sasa wewe nae kamba nyingi yaani mtu ana millioni 15 na asubiri bahati nasibu kuingia USA mbona hiyo hela mtu anaenda bila shida yyte muhimu akidhi vigezo tu.
mimi nimemshauri kulingana na uelewa wangu mdogo... ingekuwa vyema na wewe ukamshauri kulingana na uelewa wako...!​
 
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.

Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae WS INSIGHT kampuni zote hizi ni za ulinzi ambazo kwa hapa nyumbani ndizo zenye malipo mazuri.

Kipindi chote nilicho fanya kazi kwenye makampuni ya hapa nyumbani hali yangu KIUCHUMI ilikuwa mbaya sana nafanya kazi lakini pesa haikai kabisa. niliandika Uzi Natafuta kazi, maji yamenifika shingoni

Niliwahi kuomba kazi ya taaluma yangu niliyo somea kwenye ajira zinazo tangazwaga na serikali Lakini sikuwahi kubahatika kwakifupi nimetafuta ajira serikalini zaidi ya miaka 15 bila mafanikio.

Nakumbuka nimepata marafiki ambao wamekuwa kama ndugu kupitia andiko langu la kusaidia walio kwama kwenye tovuti ya maombi ya ajira za afya na ualimu Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta ajira bila mafanikio ndipo niliamua kuanza kukusanya taarifa juu ya nchi walau zenye fursa za ajira zenye malipo walau mazuri. kwa msisitizo zaidi niliandikaga bandiko hili

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Kupitia bandiko hilo nilipata mwanga wa jinsi ya kuvuka mipaka ya nchi yetu.

Vitu vya kuzingatia kwa mnao taka kusafiri kwa minajiri ya kutafuta maisha nje ya mipaka yetu.

1. Passport hii ni nyezo muhimu sana kwa kila Raia uwe unatafuta ajira au hutafuti kwa kifupi passport ni kitambulisho muhimu sana ambacho unatakiwa kuwa nacho kama ilivyo nida...!

2. AGENTS kwa nchi zetu za kiafrika kama huna pesa au hutoki kwenye familia zinazo jimudu kifedha. huwezi kwenda nje bila kuwa na agent atakae fanikisha safari yako. hapa kwenye ma_agent kuna changa moto kubwa sana. kwa kifupi umakini una hitajika sana kwani baadhi ya maargent sio waaminifu wanaweza wakakupiga pesa na usisafiri au ukasafiri ila ukakutana na hali tofauti huko uendako tofauti na ulivyo ambiwa.

3. AFYA. ikiwa una lengo la kwenda nje hakikisha Afya yako unailinda kwa hali na mali kwani mchi za wenzetu ukiwa na maradhi haswa ya kuambukiza hutopata nafasi ya Visa. hivyo ichunge sana Afya yako kabla hujapewa appointment ya kuhojiwa kuhusu Maombi yako ya VISA nilazima upeleke fomu maalum iliyo jazwa na doctor kuhusu afya yako. na hospital watakazo kwambia uende ni zile genuinely ambazo huwezi kuhonga ili wapindishe taarifa.

4. KUSHITAKIWA/UHARIFU unatakiwa pia ujiepushe sana na uaharifu wowote utakaosababisha utiwe hatiani. kwani ni lazima pia itahitajika upeleke police clearance forms. Hayo ni kwa uchache ninazo connection za ajira kwa nchi za QATAR, DUBAI, UARABUNI yote kwa ujumla.

Unachotakiwa kuwa nacho ni passport na ujuzi wa ziada kama Ufundi, udereva ama fani za ualimu, upishi, udokta, uuguzi n.k Nitakuwa naweka hapa fursa hizo kila zitakapo jitokeza.

N.B
Connection hii siitoi bure, gharama za awali kabisa za kupewa maelekezo ni shilingi 50,000/=

Nafanya hivyo kutokana na kuwa kuna watu ambao awapo seriously kwenye maswala ya msingi. hivyo kama mtu aki weza kulipia nitamconsider kuwa yupo seriously na nitamuongeza kwenye group la Whatsapp kwa ajili ya update ya hizo nafasi.

Mimi mwenyewe nilihangaika kwa gharama kubwa sana hadi kupata hizi connection.

N. B

pesa kwangu sio Tatizo ila nimeweka kiwango hicho ili kupunguza idadi ya watu... maana mimi ni mtu ambae nina kazi zangu nyingine hapa hapa dar es salaam. hivyo siwezi kutoa muda wangu bure 🤣🤣🤣

moja ya kazi zangu ni... Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

hivyo sitegemei consultation fee iniweke mjini... kwenye maisha ili utoboe lazima u take risks...​
We jamaa, huna tofauti na wachungqji, waliojaa kila Kona hapa, bongo, wote wanatsfuta namna yq kupata maokoto!
Kwa ufupi, ndugu zangu wasomaji, msiamini sana maneno ya mitandsoni kama haya, hapa, umeweka story zako, za, kusaka kazi, inawezekana ni maneno kama ya kwenye kanga tu,hatuwezi kudhibitisha, ni kama Geodave anaposema alifanya kikao na Mungu!
We huna msaada wowote, unataka vijana waingie kingi tu,
Mchango wangu:kazi, za, makampuni ya simu, Voda, tigo, Airtel, za, kwenye mineral, hufanywa na hizi kampuni, APM, pivotech,Csmusat, NETIS,NEWL(Sakina Arusha). sincro(Dar kwa, mwalimu).
Haya makampuni uajiri hata freshers kutoka vyyoni,baadhi hutangaza nafasi, kwenye kurasa zao, wengine kimya kimya, ibuka Getini pereka CV,
Kampuni nyingine Worldmobile wapo michenzani mall Zenj, floor number 6.hawa, wanafunga internet kwenye mashule,
 
umeandika haraka haraka sana... ila shukrani sana kwa mchango wako... ila hilo neno kuingia kingi ulivyo litumia utadhani unanifahamu physically... kwa kifupi natumia majina yangu harisi...

picha unayo iona hapo kwa profile ni yakwangu mimi mwenyewe... jf wamejiridhisha kuwa huyo unae muona kwenye profile 100% ni mimi ndio maana nipo verified.

sijawahi kutapeli mtu na sitarajii kuishi kwa kiutapeli ukitaka kunielewa vizuri njoo unisome kwenye uzi huu

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

wapo mataperi ila naomba unitoe kwenye hiyo list...!

ninafanya kazi inayo niwezesha kutatua changamoto zangu bila kutumia nguvu moja ya kazi zangu ni... Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

sitegemei kumuingiza mtu kingi ili niishi mimi ni mpambanaji ndugu...!​
 
Kuna jamaa alinipq namba za wakala wa kutafuta kazi.huko arabuni.nilipomtafuta akasema kwa sasa kazi za wanaume hana.ila za wanawake anazo.wakala yupo dar namba zake hizi.0717643900 muhsin.
kwa wanawake jaribuni

Kuna dada alichukua namba kama hivi ulivyoweka aliishia kutapeliwa
 
Fursa zipo nyingi ila tatizo lugha na aneongea English bongo anajiona yuko juu sana hawezi kufanya kazi za chini

Wakenya nawaona wanavyofanya kazi kwenye nchi za kiarabu especially Qatar wamejaa sana kuanzia Airport kazi zote kama luggage handlers, cleaners, kwenye migahawa wapo na hata petrol stations ndio wao wanafanya

Wameona watafute mbadala wa wahindi maana wao wameitana na kupeana kazi kuanzia Managers mpaka wasafishaji
Yaani kwa mpaka wamewazidi wazawa kwa wingi
Na ni waizi na ulaghai kibao
Ila wenzetu wao hawana mda wa kuleta wenzao mpaka waletwe na serikali

Kuna fursa nyingi mpaka nawaona wasomali wengi sana polisi na wanajeshi huko

Sasa wanaanza kuajiri mpaka wakenya kwenye constructions
Kama jamaa anaujanja ujanja ni rahisi kufuatilia na kujua hizo fursa na vigezo hata kwenye balozi zao
Mitandao unaweza kuangalia ila kumbuka kuna wanaijeria wasomi wanaiba kama nini
Ukijichanganya tu tena utatoa dollars mwenyewe 😄
 
umeandika ukweli mtupu.... hapa nyumbani wabongo vichwa vimelala.... ukimwambia mtu fursa za ughaibuni anakwambia huko watu wanafanyiwa ukatili... hivi kuna sehemu ambayo watu awafanyiani ukatili 100%...

wanasahau kuwa yeyote ukiingia kwenye anga la vitu vyake anavyo vipenda lazima akufanyie ukatili tu....!

wakenya na waganda wametupiga gap kubwa sana ki diaspora​
 
Na wanachangia sana kutuma hela kwao
Ila sisi kuna watu wana roho mbaya na za kimasikini
 
Na wanachangia sana kutuma hela kwao
Ila sisi kuna watu wana roho mbaya na za kimasikini
Na wengi walio fika nje wanakata kabisa ramani awataki kutoa ramani kwa wenzao...kwa kweli tuna changamoto sana kwenye swala zima la kushikana Mikono...!​
 
Na wengi walio fika nje wanakata kabisa ramani awataki kutoa ramani kwa wenzao...kwa kweli tuna changamoto sana kwenye swala zima la kushikana Mikono...!​
Wabongo wana roho mbaya sana hata walioko nje wengi wao ni wabaya sana
Wanaweza kukuchoma ukarudishwa kisa mmekosana tu na wakipata kazi wanaona kama wamepata pepo

Sijuani nao sana ila nasikia habari zao tu
Hawana msaada kwa wenzao
Bora kukaa nao mbali tu
 
Harafu uaminifu wao ni zero...kwenye harakati zangu hizi za kuitafuta Fursa. Nimetapeliwa zaidi ya m6 na watu tofauti tofauti ninao wafahamu ambao wapo huko majuu😭😭😭

Watu ambao wapo abroad sijui wanadhani maisha wameyapatia hivyo awato Rudi nyumbani...!​
 
Hawa walitoa kaz indeed kumbe n matapel nadhan ni wa naija nkaenda nao mpaka ilpofka muda wa kulipia visa ndio nkajua hawa si wema nkaanza kuchimba iyo kampun kumbe wamecopy kila kitu kutoka kampuni inayoitwa MEG energy majina ya ma hr na madairector yote wameweka apo kwenye web yao mpka ukagundue hawa n majiz inahitaj akil kubwa sana mana mpka contact na apointment ya ubaloz walinipa ila lilipofika swala la malipo karbu dola 1780 ndio nkajua watanzania ua tunaponzwa na kutokua na taarfa zaid
C_HILLS~2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom