congo fever imezuka tena

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Ugonjwa huu umezuka tena na huko Bangladesh kijana wa miaka 29 amukufa jana na mwanamama mmoja amefariki huko Oman. Ulaya wameanza kupiga marufuku uagizaji nyama kutoka Afrika na Asia. Nimesikia serikali ya Tanzania pia imetahadharisha watu kula nyama. Jamani chukueni tahadhari na fuatilieni zaidi habari hii kwa usalama wenu na wale muwapendao.
 
Back
Top Bottom