Comfesheni page. . . . .

Rev Eiyer wewe mdogo wa moyoni nashindwa nitubuje kwako manake niliowasha tamaa za ngono kwao ni wengi sana na niliowavutia pia ni wengi kiasi cha kuzini na wengi sana moyoni. kivitendo ni shemejiyo Kaizer tu

Kuna siku wewe na huyo Kaizer wako mtatafutia pa kutokea,msikimbilie kwa Rev Eiyer!
 
Last edited by a moderator:
Mimi si confess kwa mke wangu kwani anajuwa kuwa ni kiwembe cha mtaa. Yeye hujisemea tu kuwa yeye niliemueka ndani ndio nampenda wengine wote nawachezea tu!

Hongera kwa muke mwema. .!!
 
uuwiiii....my mtu chake nisamehe.....kweli nilikuchit...jana tu.....na KakaKiiza.....unajua bebii....huyu alikuwa wangu kabla yako.....sasa jana ulipokuwa haupo.....nikakumbuka style yake moja ya kibatari.....wewe hujawahi kunipa hiyo.....ikabidi nimfuate.....kweli sirudii tena....naapa.....
Siku zote maji yakichemuka na kufikia sentigredi 200%Hu wa hayasahau kwao hivyo hata yachemke vipi lazima ya tarudi ubari ndo kwao.....Nadhani mtu chake utakuwa umenielewa....Mpenzi wangu Preta nimekusamehe kwa yote najua ulipotoka kwani siyo kawaida yako naninachokiona nimimi kuwa na kazi nyingi za field kuanzia leo naomba nirudishwe mjini niungane na wewe kwa kila sekunde iendayo kwa mungu....:A S-rose::mwaaah:
 
Last edited by a moderator:
we chukua kibatari....kiwashe sehemu yenye upepo......kitakavyokuwa kinawaka.....style iko hapo....
ONYO...usiniibie KakaKiiza wangu tafadhali......
Usiogope hapa mimi na wewe tumenata na gundi ya supa guluu!!hivyo there is no point return!!sa wa mamii Preta mimi niwako mahabuba.....
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, bora awe anajijua na kuukubali 'udhaifu' wake. Nilimlaumu mtu akawa anacheka tu. Nikaanza kumshangaa, akajibu 'I'm not gonna apologise manake in less than an hour nitarudia kosa hili'. Ilibidi nicheke tu. Manake ni leave or else live with it! I appreciate honesty
mmmh huyo 'kondoo' usimwamini sana, akishatubu baada ya nusu saa tu anarudia pale pale....

 
Bishanga, mie confession yangu nikiiweka hapa, itahatarisha usalama wa taifa. Na mbaya zaidi hata jf haikawii kufungwa. I better shut my big mouth.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, bora awe anajijua na kuukubali 'udhaifu' wake. Nilimlaumu mtu akawa anacheka tu. Nikaanza kumshangaa, akajibu 'I'm not gonna apologise manake in less than an hour nitarudia kosa hili'. Ilibidi nicheke tu. Manake ni leave or else live with it! I appreciate honesty
Hapo King'asti huyo jamaa kaamua kuwa muwazi tu na ni vizuri zaidi kwa muhusika kuchukua hatua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom