Na wasiwasi na habari hii ina lengo la kupotosha kama ile ya kukamatwa wa mtoto wa Gaddafi, but all in all the dictator is getting the heat.
Labda atakimbilia Comorowaarabu hawamtaki, ingekuwa mwinyi sawa, JK ametekwa na wazungu zaidi, nambie ametembelea nchi ngapi za kiarabu?
Ndiyo rais anaefata kuondolewa madarakani na mipango inaelekea kutimia wewe ngoja siku 30 ziishi na maisha yazi kuwa magumu zaidi utaona...Duh JK anakimbilia wapi na kwa nini ? Haya wacha nione la kufanya
Very good, umemtetea Gaddafi mwisho umeona hasaidiki welcome to a winning team lazima tuhakikishe madikteta wote wanatoka tukimaliza Zimbabwe tumahamia Tanzania weekend njema.Weekend njema sasa tunahamia Zimbabwe kupiga kwenda mbele mpaka wamtoe huyu jamaa. FEEDBACK umekubali mnaingizwa chaka na hao jamaa eeeh
<br />kwanini gadafi anakimbilia huko?
I hope so nasikia alishaanza maandalizi hayo kwa kuinunua Bahari Beach Hotel.Ningeomba Gaddafi akimbilie Bagamoyo ili NATO waturahisishie kazi !!!
<br />kwanini akimbilie huko mkuu