COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Ninachooamini ni kwamba miongoni mwa alama za uwepo wa mungu ni akili, sasa nikiono watu hapo juu mkichallengiana inamaanisha akili, tayari one of the signs..

Pia wanadamu tumepewa ukomo wa uelewa, so hakunaga kujua yoote. There is not but one God!

Allah..

Utaki kakojoe ulale..

Hoja Dhaifu! huyo Allah wako yeye mwenyewe alikili kuwa Hakuna Mungu...

Kuwa na akili ndio jibu lako la kuwa Mungu Yupo? Akili zinakaa kwenye Ubongo na Ubongo na Mungu hapo vipi?

Uwepo wa kuamini Mungu yupo ni Imani tu nothing else... ni sawa na kusema Brainwashed...

Mtu akikuambia Kalipue bomu Bungeni ukifa unaenda moja kwa moja Peponi na huko utakuta Wanawake walionona na wenye makalio makubwa zaidi ya mia utazini nao tu kwa raha zako... na wewe ukiamini ndio kama hivyo.
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?

Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.


pia alikuwa na uwezo wa kukwepesha ajali. hizo.....ila waburuzwao ajali ikitokea watakwambia ni MPANGO WA MUNGU...wakiona wamefululiza kumsingizia mungu basi wanamgeukia shetani...
 
Capt Tamar,


Kama unaamini its OK. maana imani ni kama Mbuzi ndani ya gunia...

imani ni 50/50
 
Last edited by a moderator:
pia alikuwa na uwezo wa kukwepesha ajali. hizo.....ila waburuzwao ajali ikitokea watakwambia ni MPANGO WA MUNGU...wakiona wamefululiza kumsingizia mungu basi wanamgeukia shetani...

Wakimgeukia shetani nitawauliza, kwa nini mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, ukiwamo ujuzi wa mambo yatakavyokuwa kila eventiality, aumbe ulimwengu ambao shetani anawezekana kuwepo?

Hususan kama uwezo wa kuumba ulimwe gu ambao ahetani hakuwezekana kuwapo alikuwa nao tu?
 
Wakimgeukia ahetani nitawauliza, kwa nini mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, ukiwamo ujuzi wa mambo yatakavyokuwa kila eventiality, aumbe ulimwengu ambao shetani anawezekana kuwepo?

Hususan kama uwezo wa kuumba ulimwe gu ambao ahetani hakuwezekana kuwapo alikuwa nao tu?


hah hah hah ngoja tusubiri sarakasi zao watakapokuja...
 
Niliposoma hii mada nikaingia kwa hamu kubwa nipate ushahidi wa uwepo wa Mungu, lakini mtoa mada hajaongea chochote cha ushahidi, anaishia tu kurudia maneno yale yale "... kwa IMANI yangu NAAMINI kwamba chanzo cha nguvu hizo ni MUNGU".

Hakuna ushahidi wowote, bakini na imani zenu tu, kwani imani inamfunga mtu asifikiri, akubali tu chochote bila kuhoji.
 
ulichoongea ni ukweli mtupu.mie kuna kipindi nilikuwa nikitoka napishana na huyo mtu sehemu ile ile .ilifika kipindi ikabidi tukajikuta tunashangaa wenyewe.
 
shalet

Hiyo namba 1&5 kama Jah aliumba watu wawili tu na wakaongezeka ina maana tuligegedana ndugu kwa ndugu then ndio tuka ongezeka?Kama jibu ni ndio basi hata leo uki mgegeda dada yako hiyo sio dhambi coz ina onekana sie wote ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo namba 1&5 kama Jah aliumba watu wawili tu na wakaongezeka ina maana tuligegedana ndugu kwa ndugu then ndio tuka ongezeka?Kama jibu ni ndio basi hata leo uki mgegeda dada yako hiyo sio dhambi coz ina onekana sie wote ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja!

Haya mambo naona yamewekwa tu na wanadamu ili maisha yasonge mbele. Doubt ni nyingi mno kuliko uhalisia wa mambo.
 
Mimi nilitaka kupata ufafanuzi tu kidogo kuhusu ishu ya uwepo wa Mungu. Kabla ya kuja wazungu/wageni weupe, babu zetu walikuwa na namna zao za kuabudu(kutambika?) Na walikuwa wakipata majibu sawasawa na maombi yao.

Nachohitaji kueleweshwa ni je kwa nini saivi zile namna za kale za kuabudu zinapingwa na tumekubali kukumbatia namna mpya iloletwa na wageni weupe tena tukiaminishwa ile namna yao ya kuabudu ndio sahihi na ndio yenye kumtukuza Mungu wa kweli?

Ntashukuru kama nitapatiwa maelezo mujarabu
 
Hiyo namba 1&5 kama Jah aliumba watu wawili tu na wakaongezeka ina maana tuligegedana ndugu kwa ndugu then ndio tuka ongezeka?Kama jibu ni ndio basi hata leo uki mgegeda dada yako hiyo sio dhambi coz ina onekana sie wote ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja!

nouma sanaaaa
 
Hoja Dhaifu! huyo Allah wako yeye mwenyewe alikili kuwa Hakuna Mungu...

Kuwa na akili ndio jibu lako la kuwa Mungu Yupo????? Akili zinakaa kwenye Ubongo na Ubongo na Mungu hapo vipi?

Uwepo wa kuamini Mungu yupo ni Imani tu nothing else... ni sawa na kusema Brainwashed...

Mtu akikuambia Kalipue bomu Bungeni ukifa unaenda moja kwa moja Peponi na huko utakuta Wanawake walionona na wenye makalio makubwa zaidi ya mia utazini nao tu kwa raha zako... na wewe ukiamini ndio kama hivyo...

Ndio maana nikakwambia kwa imani yangu kama ambavyo wewe unavyo amini kua mungu hayupo,pia imani kwangu ni sehem ya maisha yangu kitu ambacho siwez chaguliwa na mtu yeyote, sasa niaje wewe useme hoja dhaifu au brain washing!

Unaweza kuwa na akili lakini isiwe yenyekutosheleza kila kitu, kama ambavyo wewe una akili za kukusaidia kupata mlo wa kila siku na si za kukuwezesha kung'amua uwepo wa mungu..

Nikusaidie kitu tu, kaa tulia tafakari na baadae utatambua nini watu tunaelezea kuhusu uwepo wa mungu usikurupuke na kutaka umaarufu wa kumkana mungu..

NB:iman inamilikiwa na maamuzi ya mtu kupitia akili yake. (its an optional issue)
 
stroke
Kwani wewe hadi leo ulikuwa bado kuamini uwepo wa Mungu?

Hivi muujiza wote mkubwa tunaouona wa uumbaji wa dunia na sayari zote zinazotuzunguuka, pamoja na uumbaji wa viumbe wote walioko duniani, pamoja na uumbaji wa binadamu, pamoja na kuumbwa kwako, wadhani hayo yote yametokea by coincidence, bila kuwepo na creator, aliyetenda muujiza huo mkubwa?

Ukiendelea kufanya moyo wako mgumu wa kutoamini, inawezekana pia usiamini pia uwepo wa ufalme wa mbinguni na jehanum ya moto baada ya kufa.

Kitakachotokea utakaporealize uwepo wa Mungu, pamoja na uwepo wa pepo ya mbinguni pamoja na jehanum ya moto, itakuwa tayari ushaaga dunia.

Itakuwa faraja kubwa sana kwako, kama wakati huo utajikuta upo kwenye ufalme wa mbinguni, kutokana na matendo mema uliyofanya duniani.

Lakini vile vile itakuwa bonge la disaster, iwapo itatokea by coincidence umepelekwa ule upande wa pili.
 
Last edited by a moderator:
Paul hata Farao alisema hivyohivyo, alikataa katakata uwepo wa Mungu. Kumbuka alipokuwa anakufa maji, aliuona ukweli wa uwepo wa Mungu. Akatamka nimemuamini Mungu wa Musa na Harun. Subiri siku ya kufa hapo ndipo utakapo juta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom