Coca-Cola imetangaza mpango wa kutengeneza kinywaji chenye kilevi kwa mara ya kwanza katika historia ya miaka yao 125

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
Coca-Cola imetangaza mpango wa kutengeneza kinywaji chenye kilevi kwa mara ya kwanza katika historia ya miaka 125 ya Kampuni hiyo nchini Japan kwa kutumia bidhaa tamu lakini yenye kileo. Bidhaa hiyo ya muundo wa alcopop itakuwa na kiwango cha kileo cha ujazo wa 3% na 8%

Rais wa Coca Cola nchini Japan Jorge Garduno amesema ''hatujawahi kujaribu bidhaa kama hiyo yenye kileo kidogo, lakini ni mfano wa namna ambavyo tunavyotumia fursa nje ya mipaka yetu''. Haijafahamika bado kama kinywaji hicho kitauzwa nje ya Japan.

Chu-Hi ni kifupi cha Shochu highball ambacho ni mbadala wa bia, maarufu sana kwa wanywaji wanawake. Kampuni kubwa za vinywaji nchini Japan ikiwemo Kirin, Suntory na Asahi zina aina mbalimbali za vinywaji na wameendelea kufanya majaribio na mamia ya ladha.

Lakini mwezi Novemba mwaka jana ilikisiwa kuwa Coca Cola itaanza kutengeneza vileo. Neno alcopop lina maana ya vinywaji vyenye sukari lakini vyenye kileo, na miaka ya 1990 bidhaa za UK kama vile Hooch, Reef, Smirnoff Ice na Bacardi Breezer zilikuwa maarufu sana.

Lakini zilileta mkanganyiko, zikidaiwa zinawafanya vijana kutumia kinywaji chenye kileo kingi kwa kiasi kikubwa kwa kuwa zilikuwa rahisi kutumia.


BBC
 
chondechonde ...wasiweke alcohol ndogo

tunataka kiwe na alcohol vol kwanzia 15% tulewe haraka vyuma vyenyewe vimeshika huku mambo ya 5% vol hatuyatak sisi
 
'Walokole' wataacha kutumia bidhaa za Cocacola kwa kuwa pia wanatengeneza ulabu
 
Kiwaongezee na nyege wenzetu waliotoka kwenye ubavu wetu, manake nyege zao zinazidi kupungua kila leo
 
Sasa si watatuua, pombe yenye utamu unaweza ukanywa kreti zima.
 
Rais wao amesema,
Haijafahamika bado kama kinywaji hicho kitauzwa nje ya Japan.
 
Kampuni ya Coca-Cola inajipanga kuanza uzalishaji wa kinywaji chenye kilevi kwa mara ya kwanza tangu kampuni hiyo iasisiwe miaka 125 iliyopita.

Zaidi endelea...

It is keen to cash in on the country's growing taste for Chu-Hi - canned sparkling flavoured drinks given a kick with a local spirit called shochu.

The product is typically between 3% and 8% alcohol by volume.

A senior Coke executive in Japan said the move was a "modest experiment for a specific slice of our market".

"We haven't experimented in the low alcohol category before, but it's an example of how we continue to explore opportunities outside our core areas," said Jorge Garduno, Coca-Cola's Japan president.

It was unlikely the drink would be sold outside of Japan, he suggested.
_98355046_023247472-1.jpg
 
Back
Top Bottom