Club ya Yanga inapaswa kupewa adhabu kali: Manara anapaswa kuongezewa adhabu kali

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Ni kweli Engineer Hersi ni mshkaji wa Manara, lakini linapokuja swala la kutii mamlaka ya TFF na kamati zake, Taasisi yoyote ile iliyochini ya mamlaka za TFF inapaswa kuziheshimu.

Yanga kama taasisi ilipaswa kuheshimu sheria, kanuni na kamati zote za TFF. TFF ilimpa adhabu ndugu Haji Manara ya kutojihusisha na shughuli zozote zile za kisoka, ila kwa MAKUSUDI hali wakijua kuwa wanakiuka taratibu na kanuni za TFF na kamati zake. Rais wa Yanga na uongozi wake wakampa ruhusa ndugu Haji Manara kuwa sehemu ya Shughuli za kisoka.

Hili ni kosa na linapaswa kuadhibiwa vikali sana.

FB_IMG_1659810195859.jpg
 
Ni kweli Engineer Hersi ni mshkaji wa Manara,lakini linapokuja swala la kutii mamlaka ya TFF na kamati zake,Taasisi yoyote ile iliyochini ya mamlaka za TFF inapaswa kuziheshimu.

Yanga kama taasisi ilipaswa kuheshimu sheria,kanuni na kamati zote za TFF. TFF ilimpa adhabu ndugu Haji Manara ya kutojihusisha na shughuli zozote zile za kisoka,ila kwa MAKUSUDI hali wakijua kuwa wanakiuka taratibu na kanuni za TFF na kamati zake,Rais wa Yanga na uongozi wake wakampa ruhusa ndugu Haji Manara kuwa sehemu ya Shughuli za kisoka.

Hili ni kosa na linapaswa kuadhibiwa vikali sana.View attachment 2316476
Unaandika Kwa kutumia makalio mbona
 
Ila mnajua kurukaruka, adhabu inaanza baada ya kupewa nakala, je nakala ameshapata ili adhabu ianze mbona mnarukaruka hapa!!

Porojo nyingi, adhabu inaanza vipi wakati nakala hajapata!

Je, nauliza tena nakala yake ameshapewa!!!
 
Adhabu ya nn wakat inaishia mtoano hatua ya kwanza CAF CL, ndo adhabu tosha
 
Ila mnajua kurukaruka, adhabu inaanza baada ya kupewa nakala, je nakala ameshapata ili adhabu ianze mbona mnarukaruka hapa!! Porojo nyingi, adhabu inaanza vipi wakati nakala hajapata! Je nauliza tena nakala yake ameshapewa!!!

Siku kama NNE zilizopita jamaa kapewa na baadhi ya vyombo vya habari ilitoa hii taarifa, sijui kama mwezetu unaishi Marekani.

Jambo la pili bila kupepesa maneno Manara ni tatizo na amesababisha tatizo ktk klabu ya yanga had I hapo
 
Siku kama NNE zilizopita jamaa kapewa na baadhi ya vyombo vya habari ilitoa hii taarifa , sijui kama mwezetu unaishi marekani.

Jambo LA pili bila kupepesa maneno Manara ni tatizo na amesababisha tatizo ktk klabu ya yanga had I hapo
Tuletee ushahidi wa baadhi ya hivyo vyombo vilivyoripoti tunakusubiria wewe unayeishi Tanzania!
 
Yeyote atakaetetea dharau kwa TFF ni mpumbavu na punguani.

Mpira ni biashara kubwa duniani zaidi ya kuwa mchezo pendwa.

Manara ni mchumia tumbo mmoja Azië na Faida hata kwa familia yake.
 
Wewe unauhakika hajapata barua au nakala ya hukumu?
Ila mnajua kurukaruka, adhabu inaanza baada ya kupewa nakala, je nakala ameshapata ili adhabu ianze mbona mnarukaruka hapa!!

Porojo nyingi, adhabu inaanza vipi wakati nakala hajapata!

Je, nauliza tena nakala yake ameshapewa!!!
 
Aibu saana taifa hili mtu amefungiwa Leo anafanya kazi kama kawaida duuuu aibu saaana
 
Taasisi hii ya kijani ndiyo imefanya mpira mara kadhaa urudi nyuma , mara watishie kujitoa kwenye ligi mara waandamane yaani ni shida tupu
 
Back
Top Bottom