Clouds wanatufanya wajinga

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
jana nilikua nasikiliza PB wamleta program manager kuelezea juu ya ule ugomvi ulotokea last week,eti akasema ile ilikua ni planned ili wajue attention ya watu ktk radio yao,Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Majibu mepesiiiiiiii kwa maswali magumu ndo haya then nashindwa kuwatofautisha na ccm pale lukuvi aliposema lile bomu la arusha soweto ni cdm wenyewe wamepanga ili kupata huruma ya watu.Mimi nasema hivi kuanzia jana 88.5fm sisikilizi teeeeeeeeeeeeena,bora niwe namsikiliza zembwela anaongea vitu vyenye mashiko
 
redio yenyewe haieleweki wanachokisema.wizi mtupu.bora niendelee kusikiliza ORS FM redio ya wamasai
 
Hii sasa inanishawishi ni tilie mashaka kila habari zao kua si za kweli,bali ni planned.

Clouds fm acheni kutuona watanzania wote ni mapunguani...hivi kweli wamekosa/walikosa namna nyingine yoyote na kupima akili za watu mpaka watumie(kwa kupotosha) kile kilicho tokea.

Unawezaje kutangaza kwa mfano,raisi wa nchi kafariki au labda bunge limeteketa na wabunge wote bungeni...alafau watu wakianza kureact kufuatana na habari husika...unajitokeza na kusema jamani hii habari si ya kweli...tulikua tunapima maji tuu kuona ni jinsi gani watanzania wanampenda raisi wao au wabunge wao!

Kwa kwelii mmejipunguzia heshima na mmeonyesha utovu mkubwa sana wa maadili ya utangazaji na uendeshaji wa vyombo vya habari!

JIHESHIMUNI JAMANI MNASIKILIZWA NA WENGI ACHENI UTOTO!
 
jana nilikua nasikiliza PB wamleta program manager kuelezea juu ya ule ugomvi ulotokea last week,eti akasema ile ilikua ni planned ili wajue attention ya watu ktk radio yao,Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Majibu mepesiiiiiiii kwa maswali magumu ndo haya then nashindwa kuwatofautisha na ccm pale lukuvi aliposema lile bomu la arusha soweto ni cdm wenyewe wamepanga ili kupata huruma ya watu.Mimi nasema hivi kuanzia jana 88.5fm sisikilizi teeeeeeeeeeeeena,bora niwe namsikiliza zembwela anaongea vitu vyenye mashiko

bora mkuu usikilize supermix iko cha zembwela ndo kipindi pekee cha kuwaelimisha na kuwapa habari wana east afrika maana hata waandishi wake wananidhamu na kazi yao
 
hivi watangazaji wale wana vyeti vya uandishi wa habari? uwe unasikiliza BBC, asubuhi kuna radio france, kwenye radio mimi si mzalendo.
 
Ukiona hvo ni dalili ya kufulia hawawezi kuanzia upuzi eti ni kupima watu attention nyingne hazifai ni za kipuuzi tu hazna maana yoyote siku zinavozidi kwenda redio yao ndo inapoteza wasikilizagi kwa ajili ya upuuzi kama huu
 
jana nilikua nasikiliza PB wamleta program manager kuelezea juu ya ule ugomvi ulotokea last week,eti akasema ile ilikua ni planned ili wajue attention ya watu ktk radio yao,Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Majibu mepesiiiiiiii kwa maswali magumu ndo haya then nashindwa kuwatofautisha na ccm pale lukuvi aliposema lile bomu la arusha soweto ni cdm wenyewe wamepanga ili kupata huruma ya watu.Mimi nasema hivi kuanzia jana 88.5fm sisikilizi teeeeeeeeeeeeena,bora niwe namsikiliza zembwela anaongea vitu vyenye mashiko
Mkuu leo saa hizi ndio unavuta shuka wakati Jogoo limeshawika!
 
Wangekubali tu kwamba walifanya makosa kugombana on air. Unajua watangazaji wenyewe wanajua hawawezi kuchukuliwa hatua yoyote. Nakumbuka kipndi clouds wanaadhimisha miaka 14 kuna watangazaj ambao hawakufika kwenye tafrija. Ruge alisema kuwa ni utovu wa nidhamu na wangefukuzwa bt mpaka leo wapo, hawana ubav wa kuwafukuza wakiwafukuza wanaamini redio itakuwa chali.
 
Yaan ktk siku ambayo nilichukia ni siku ile ya ugomvi wa XXL,yaan Hawa jamaa wanatuona sie watoto ee!! Km ilikua fake Mbn kipindi kiliishia pale pale than kilichofuata hata kwenye Jahazi waliomba radhi kilicho tokea Mbn wanatuona sote wajinga.....
 
jana nilikua nasikiliza PB wamleta program manager kuelezea juu ya ule ugomvi ulotokea last week,eti akasema ile ilikua ni planned ili wajue attention ya watu ktk radio yao,Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Majibu mepesiiiiiiii kwa maswali magumu ndo haya then nashindwa kuwatofautisha na ccm pale lukuvi aliposema lile bomu la arusha soweto ni cdm wenyewe wamepanga ili kupata huruma ya watu.Mimi nasema hivi kuanzia jana 88.5fm sisikilizi teeeeeeeeeeeeena,bora niwe namsikiliza zembwela anaongea vitu vyenye mashiko

88.5? Sema Mawingu radio ( kama kwa mafumbo) kwani hiyo hupatikana kwa frequency tofauti katika mikoa tofauti. Na kwa kuwa JF ni nchi nzima, wengine hiyo 88.5 inasikika redio nyingine kabisa kutegemea na mkoa, hivyo haipaswi kugeneralise kuwa 88.5 ndo hawa mawingu fm,
 
Yaan ktk siku ambayo nilichukia ni siku ile ya ugomvi wa XXL,yaan Hawa jamaa wanatuona sie watoto ee!! Km ilikua fake Mbn kipindi kiliishia pale pale than kilichofuata hata kwenye Jahazi waliomba radhi kilicho tokea Mbn wanatuona sote wajinga.....

Mkuu yani bado huamini lol!ule ni usanii tu kama usanii mwingine.
 
kwahyo wamegundua kuwa wameanza kupendwa, au bado tunawachukia?
 
Hii radio ni ya wafuuuu sasa wewe na akili zako timamu ukiisikiliza hutaielewa asilani abadani.
 
88.5? Sema Mawingu radio ( kama kwa mafumbo) kwani hiyo hupatikana kwa frequency tofauti katika mikoa tofauti. Na kwa kuwa JF ni nchi nzima, wengine hiyo 88.5 inasikika redio nyingine kabisa kutegemea na mkoa, hivyo haipaswi kugeneralise kuwa 88.5 ndo hawa mawingu fm,

Ni kweli mkuu,nimekosea
 
Back
Top Bottom