Clinic mpya imefunguliwa inajihusisha na mambo ya upandikizaji(IVF)

Mdadamwema.

Senior Member
Aug 7, 2014
150
169
Habari zenu wakuu,
Hii ni habari njema kwa wale wenye matatizo sugu ya uzazi, kuna clinic mpya imefunguliwa inajihusisha na mambo ya upandikizaji(IVF) kwa kina mama ambao hawawezi kupata ujauzito kwa njia ya kawaida na kwa kina baba ambao hawawezi kutungisha mimba kwa njia ya kawaida.Iko Mbezi beach.Tell +255222617830.Mobile +255756889961.
Web:www.makivf.co.tz
 
Kwa maelezo zaidi waweza tembelea web site yao hiyo hapo juu,au kwenda moja moja clinic pale Tagi bovu mbezi beach.
 
Gharama hiyo mtz wa kawaida ataisoma...

Mnafanya ICSI?????

Egg retrival inafanyikaje? Kavu kavu na anaesthesia ?????

Kuna gharama za ziada? Kama utrasound, dawa kama gonaF etc?? Au yote ipo covered na hiyo hela??

Embryo transfer mnatumia embryo ya siku ngapi 3 au 5???

Mna freeze mayai, embryo na sperm???? If yes kiasi gani????? Mnafanya FET? IF YES Gharama ya FET kiasi gani?????

Mna donor eggs??? Au mtu akitaka kudonate mayai utaratibu ukoje????

Sorry kwa maswali mengi..... hiyo web haifunguki
 
Web haina maelezo ya kujitosheleza kabisaa!! Naomba kujua hiyo 5,000USD is for what? Ina include vipimo na mambo mengine au? Please hebu dadavua!! Kama vipi ni PM
 
Gharama hiyo mtz wa kawaida ataisoma...

Mnafanya ICSI?????

Egg retrival inafanyikaje? Kavu kavu na anaesthesia ?????

Kuna gharama za ziada? Kama utrasound, dawa kama gonaF etc?? Au yote ipo covered na hiyo hela??

Embryo transfer mnatumia embryo ya siku ngapi 3 au 5???

Mna freeze mayai, embryo na sperm???? If yes kiasi gani????? Mnafanya FET? IF YES Gharama ya FET kiasi gani?????

Mna donor eggs??? Au mtu akitaka kudonate mayai utaratibu ukoje????

Sorry kwa maswali mengi..... hiyo web haifunguki
Gharama hiyo mtz wa kawaida ataisoma...

Mnafanya ICSI?????

Egg retrival inafanyikaje? Kavu kavu na anaesthesia ?????

Kuna gharama za ziada? Kama utrasound, dawa kama gonaF etc?? Au yote ipo covered na hiyo hela??

Embryo transfer mnatumia embryo ya siku ngapi 3 au 5???

Mna freeze mayai, embryo na sperm???? If yes kiasi gani????? Mnafanya FET? IF YES Gharama ya FET kiasi gani?????

Mna donor eggs??? Au mtu akitaka kudonate mayai utaratibu ukoje????

Sorry kwa maswali mengi..... hiyo web haifunguki

Ndiyo tunafanya ICSI kwa gharama ile ile.
-Egg retrival inafanyika na anesthesia
-Wakati wa investigation haviko covered,ukishakuwa umelipia procedure, vyote vinakuwa covered
-Embryo transfer ni 3 to 5days
-Yes tuna freez mayai embryo na sperm kwa Tsh 100,000 kwa mwaka
-Yes ana donate with contract.
 
Okey.
 
Jee mnapokea bima ya NHIF?
Jee mnafanya kipimo cha semen analysis kwa gharama ya sh ngap?
 
Ndiyo tunafanya ICSI kwa gharama ile ile.
-Egg retrival inafanyika na anesthesia
-Wakati wa investigation haviko covered,ukishakuwa umelipia procedure, vyote vinakuwa covered
-Embryo transfer ni 3 to 5days
-Yes tuna freez mayai embryo na sperm kwa Tsh 100,000 kwa mwaka
-Yes ana donate with contract.
nataka kudonate inakuwaje?
 
mayai ya kike mnayatoaje nije nifreeze yangu jamani
 
Habari zenu wakuu,
Hii ni habari njema kwa wale wenye matatizo sugu ya uzazi, kuna clinic mpya imefunguliwa inajihusisha na mambo ya upandikizaji(IVF) kwa kina mama ambao hawawezi kupata ujauzito kwa njia ya kawaida na kwa kina baba ambao hawawezi kutungisha mimba kwa njia ya kawaida.Iko Mbezi beach.Tell +255222617830.Mobile +255756889961.
Web:www.makivf.co.tz

Semen analyses test mnafany kwa sh ngap?
 
Back
Top Bottom