Clatous Chota Chama atua Kigoma na Dege la kukodi

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
2,263
1,883
Ama kwà hakika hayawi hayawi yamekuwa,jana majira ya Mchana nguli la soka la Moira wa Miguu mwamba wa Lusaka mara baada ya kumaliza mapumziko yake kutokana na kuiwakilisha Nchi yake katika mashindano ya AFCON huko Ivory Coast.

Sasa wapenzi wa Simba tuna uhakika Timu yetu itashinda mechi ya leo dhidi ya wanyonga Mapaka Maarufu THE HEROES.

Aidha kila mtu mwenye mapenzi aiombee Timu yetu kwà Muumba Mbingu na Nchi ishinde mechi ya leo,tuondokana kabisa na utegemezi wa Marefa kama wenzetu

Kwà kuwa jana tumeshuhudia Timu fulani ikinyimwa goli la wazi sambamba na Mauzauza ya faulo za mchongo karibu na lango la Timu hiyo ili mradi tu nyavu zitikisike lkn Mungu alikuwa upande wa Timu mwenyeji mpaka kipenga cha mwisho kinalia walikuwa wamefungana 0-0.Mungu ibariki Simba Mungu ibariki Tanzania.

Sabato Njema.
 
Endeleeni kushikwa mikia yenu na kuchezeshwa kama mataahira, na kina Gharib na Dewji, siku mkija kuamka mtakuta raslimali za nchi zote zimekombwa, ndiyo mtalia na kusaga meno.
 
chama dude kubwa sana,nyie simba mnatakiwa mjue

Muwekezaji anapata faida, Wachezaji/viongozi/wasemaji wanapata mshahara, Shabiki anapata furaha.

Mchezaji yoyote anayewapa mashabiki furaha lazima awe dude kubwa sababu bila mashabiki wachezaji, wawekezaji na wasemaji hawana kazi.
 
Ama kwà hakika hayawi hayawi yamekuwa,jana majira ya Mchana nguli la soka la Moira wa Miguu mwamba wa Lusaka mara baada ya kumaliza mapumziko yake kutokana na kuiwakilisha Nchi yake katika mashindano ya AFCON huko Ivory Coast.

Sasa wapenzi wa Simba tuna uhakika Timu yetu itashinda mechi ya leo dhidi ya wanyonga Mapaka Maarufu THE HEROES.

Aidha kila mtu mwenye mapenzi aiombee Timu yetu kwà Muumba Mbingu na Nchi ishinde mechi ya leo,tuondokana kabisa na utegemezi wa Marefa kama wenzetu

Kwà kuwa jana tumeshuhudia Timu fulani ikinyimwa goli la wazi sambamba na Mauzauza ya faulo za mchongo karibu na lango la Timu hiyo ili mradi tu nyavu zitikisike lkn Mungu alikuwa upande wa Timu mwenyeji mpaka kipenga cha mwisho kinalia walikuwa wamefungana 0-0.Mungu ibariki Simba Mungu ibariki Tanzania.

Sabato Njema.
Tusisahau kumuombea pia TATU MALOGO
 
chenji za AFCON hizo, mkuu tutumie picha ya dege hilo. Na sijui litatulia wapi kigoma palivyo
 
Kiukweli sisi mashabiki wa utopolo tumeumia chama kusamehewa
Kabisa mkuu, laiti kama Chama angekuwepo tokea muda basi Simba ingekuwa inaongoza ligi na pia Yanga wasingemfunga Simba goli tano. Dah tumeunia sana kusameheewa kwa Chama.
 
chama dude kubwa sana,nyie simba mnatakiwa mjue
Pili pili usizo zila!
oscaroscarjr-20240203-0001.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom