Cjui kama nitatoka

Your are warmly welcome........ila kumbuka jogoo la shamba haliwiki mjini..huku ni GT
 
Kama nia yako ni kutoka, nahofia kuwa uko sehemu ambayo si sahihi!~
Hta hivyo karibu sana, najua kuku mgeni ndioo hivo tena~
 
Karibu sana jamvini, humu hutatoka maana ukiingia unakuwa mlevi!
 
Please welcome me brothers and my fellows tulisongeshe taifa letu

...................Punisher kwani umejuaje kuwa umeingia? yawezekana bado upo njee kama unafurahia ngoja ukaribishwe ndani......................pole pole lakini.........................................Karibu sana,ila kuwa makini:hatari: lakini salama..kaaaaazi kwako
 
Back
Top Bottom