Brutus,Hard copy ya 2009 iko very updated!
Watunza website walio makini huwa wanonyesha ni lini walipofanya last update kwenye websites zao. CIA wamefanya hivyo kwa kusema kuwa
hiyo inaonyesha kuwa mabadiliko yaliyotokea baada ya hapo bado hayajaingizwa kwenye website. kama unayahitaji inabidi uwasiliane nao moja kwa moja, na wameonyesha namna ya kluwacontact kwa e-mail.
Na sisi tukisoma website, ni lazima tuwe makini kuangalia kama website hiyo imeshafanyiwa update yoyote kulingana na mabadiliko ya dunia. Siyo vizuri kusema kuwa website hiyo inadanganya ilihali website inayonyesha kabisa kuwa information zile ni za zamani na wakati wanaziandika zilikuwa sahihi.
Hard copy ya 2009 iko very updated!