Chupi

Hivi mtu akiuliza kitu ndo upuuzi! Sio lazima kuchangia Kama unaona una lengo la kumdiscourage mtu, Kama unajua kazi ya chupi sema Kama hujui pumzisha hizo batan za computer/ simu yako!
 
Huyu ni kizazi cha dotcom... Hakusoma sayansi kimu darasa la tatu.. Topic yenye kichwa cha habari.....'chupi yangu safi'
 
Lakini swali lako ni zuri ila umepost kwenye jukwaa la watu wanaofikiri kwa ----!
Ungepost kule Jf doctors ungepata majibu stahiki.
 
mimi hata siijui hiyo chupi unayoizungumzia, kwani ni nini?
mtoahoja nfafanulie plz, mweeeeee!!!!!!!!!
 
Inadhihirisha maumbile ya ..... kama unayo kwa usahihi wake.
Inazuia...... yasirembwendeke wakati ukitembea jambo ambalo linaweza kuwajazbisha baadhi ya watu.
 
Majibu tofauti tofaut ndo yamefanya niulze,.wengne wanadai chupi haina kaz yeyote,wengne ndo hvyo mnasema ina kaz nyng tu..lengo n kupata suluhisho tusiish kwa kuiga wazungu
 
Back
Top Bottom