Chupi za wadada zenye mfuko kwa mbele ni maalum kwa kuweka nini?

Tomboka ndo nini? Khaa......mr judge bana!!

Kipipi nawee? Tomboka hii si unaniuliza mara ya pili ?
Maana yake SEMA au FUNGUKA hicho ni Ki'Congo .
Na mbona neno hilo linatumika sana hapa Jamvi ? Ndo kusema umeliona leo kwanza ? Kama jibu ndiyo siamini!
 
Kipipi nawee? Tomboka hii si unaniuliza mara ya pili ?
Maana yake SEMA au FUNGUKA hicho ni Ki'Congo .
Na mbona neno hilo linatumika sana hapa Jamvi ? Ndo kusema umeliona leo kwanza ? Kama jibu ndiyo siamini!

Yaani nilikuwa sijalielewa kabisa, nilifikiria kweli kama nilishawahi kukuona unalitumia vile.......lakini ndo hivyo nikawa nashindwa kuunganisha nukta! Lol! Sasa hivi nimelikariri....
 
Uende kabisa na dawa ya penzi maana lolote laweza kutokea!!! anne maria

Mkuu mbona umeanza kuwanga mapema sasa? Mi nilikuwa nataka nifanye counter attack, sasa ole wako ndege wangu aponyoke, dhana ya uwajibikaji ita-apply kwako.
 
Last edited by a moderator:
Nimeona wadada zaidi ya wanne hv wamevaa hzo chup* (tembelea beach)sasa najiuliza hyo mifuko ni mapambo tu au utaweza kuhifadhi kitu? Na ukitaka kutoa utatoaje mbele za watu? Nielewesheni jamani

Kwa upande wangu mimi I think its just a design kwani pia nimeshawahi kuona chupi za wanaume zenye mifuko kwa mbele.
 
Mt.Abdallah mmh haya bhana...imekaa vizuri sana. Teh..teh..teh..kwi..kwi..kwii.. Mt.Abdallah anajua kuchinja Shwaini kweli?
 
Back
Top Bottom