Chuo fulani cha miradi hapa Dar kilinitapeli pesa yangu ya mshahara na kunisweka ndani siku tano mimi nikiwa kama mfanyakazi former

projectman

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
349
484
Inaniuma sana, kuna chuo fulani kinajinasibu hapa Dar es aalam, kina toa hadi masters, katika masuala ya miradi,ninacho jiuliza zaidi, wanatoa elimu ambayo, wao wenyewe, hawaitekelezi kwa vitendo..

Hawa jamaa, niliwai kuwa mtumishi katika taasisi yao, waliishia kunitapeli pesa yangu mshahara, wa miezi kama 10, hivi, nilipo idai wakaishia kunitupa rumande, huyo bosi na mkewe, wakaishia kunidhulumu, nilipo wadai sana, wakaona ili kuninyamazisha, ni bora kunitia ndani, polis na kesi za mauwaji, na makesi mengine

Ofisi, drama, chuki,umbea,makundi na tetesi za mapenzi ofisini, wengi walidondokea pua,

Hivi watanzania unawezaje kutupa pesa, ukasome chuo cha mtu binafsi, level ya masters, huku muanzirishi wa chuo hicho, hana hata first degree, masters ya st. Kayumba.
Kuweni makini na chuo binafsi cha mtu, nendeni msome vyuo vya serikali, hasa kwa ngazi za juu, kama masters na kuendelea, mtakuja kunishukuru,

Nimeshasema chuo cha miradi tz
 
Kwa Hali yako inavyo onekana Bora waliku sweka ndani tu maana sio kwa akili hizi,

Kwanini unaficha jina la chuo,?

Kwani mtu asiye na degree hawez kuanzisha chuo?

Alafu na ww una master asee
 
Wewe ni bure.

Ulifanyaje kazi miezi 10 bila malipo? Hukutambua wajibu wako na mwajiri wako..

Kiufupi, wewe hujitambui.
 
Back
Top Bottom