GIB
JF-Expert Member
- Mar 2, 2012
- 336
- 92
ila ninaanisha kuwa hawa jamaa wa ccm wanatumia ofise na ukumbi wa chuo hicho kilicho hapa Tengeru , kwenye jimbo la A. mashariki kama zao vile.wanapanga mikakati ya kuiba kura. wakati karibu na hichi chuo kuna ofise zao ila nashangaa kwanini hawazitumii. je hilo ni sawa.