KERO Chuo cha UDOM kuna utaratibu mbovu wa kutoa vitambulisho, wanatuumiza Wanafunzi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Haya matatizo si UDOM tu waulizeni wanangu wa SUA first year. Yani kiufupi nchi hii iko na matatizo makubwa sana. Taasisi za elimu ambapo ndo ilitakiwa iwe mkombozi kwa mambo mengi muhimu lakini yanayotokea huko ni hovyo yani hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom