Chumba cha kupanga kinahitajika..

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,514
11,277
Wakuu kwa mwenye kuweza kunisaidia kufanikisha kupata chumba maeneo hususani Ubungo, Mwenge, au Mabibo nitashukuru, Bajeti Tzs 50,000 kwa chumba pekee au Tzs 100,000 kwa chumba na sebule au chenye choo na bafu ndani. Preferably sehemu yenye fensi na uhakika wa maji na umeme.

Pia maeneo mengine ya wilaya ya kinondoni yanaweza kukubaliwa.

Ushauri wowote utapokelewa, natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom