Chuma ulete

lady mmarangu

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
306
164
Za jioni wa kuu!nahitaji msaada wenu wa hali na mali.kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,na ni mara ya 3 inanitoke, na kinachotokea mimi nahisi ni mke wangu kachukua,mke wangu nae ahisi ni mm mwenyewe najiibia, wakuu nahitaji mchango wenu,.
 
Kama unahisi ni mke wako anakuibia chukua comdom uijaze mate halafu ifunge vizuri kwenye gazeti ile hayo mate yasimwagikie hela,hiyo condom iweke kwenye warret ya hela,kama ni yeye anaiba hela wakati atakapoenda kuiba hela atakutana na kondom,lazima atalalamika unamsaliti,hapo hapo anza kutwanga makofi kwa kosa la kua anakuibia siku zote au adhabu yoyote ndogo ndogo
 
Wahanga utawajua tu, unaweza kuhisi kuwa ni tatizo la peke ako kumbe mijamaa imetengeneza hadi kanuni na mitego. Hahahahaa!
 
ID yako inaashiria wewe ni mwanamke... lakini matamshi yako ni ya kiume? Umejisahahu nini leo kama wewe ni dume unayetumia ID ya kike...
 
Kama unahisi ni mke wako anakuibia chukua comdom uijaze mate halafu ifunge vizuri kwenye gazeti ile hayo mate yasimwagikie hela,hiyo condom iweke kwenye warret ya hela,kama ni yeye anaiba hela wakati atakapoenda kuiba hela atakutana na kondom,lazima atalalamika unamsaliti,hapo hapo anza kutwanga makofi kwa kosa la kua anakuibia siku zote au adhabu yoyote ndogo ndogo
UMEMPA MAJIBU MORORO KABISA YA KIINTELIJENSIA,HAKIKA MKE ASHAPATIKANA,KESHO HUYU MUHANGA ATAKUJA NA JIBU HAPA KAMA NI CHUMA ULETE AU HILO JIPU ALOLIWEKA NDANI AKIDHANIA NI MKE...
 
lol utakuwa unalipwa hela nyingi au unatembea na exsess money,watu wanaosuffer mitaani kwa kukosa ajira,hawapotezi hata sumni
 
Back
Top Bottom