Chukua hii

Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
5,682
8,809
Siku hizi kila mtu anataka kuonekana boss, hata kama anafanya kazi ya kuzoa taka, hapendi kuitwa mzoa taka atatafuta jina la ki-english lililokaa kiboss boss ajipachike. Hebu cheki hii:

1.ShambaBoy- cku hizi anaitwa Landscape Executive,

2.Mhudumu wa mapokezi/Receptionist - anaitwa Front Office Manager,

3.Karani wa hati mkato/Typist - anaitwa Printed Document Handler,

4.Mhudumu wa ofisi/Messenger - anaitwa Business Communication Conveyer,

5.Mwalimu wa muda/Temporary Teacher - anaitwa Associate Tutor,

6.Muuza kahawa/coffee boy - anaitwa Refreshments Manager,

7.Mzoa taka/Garbage Collector - anaitwa Environmental Sanitation Technician,

8.Mlinzi/Guard - anaitwa Surveillance Officer,

9.Kahaba/prostitute - anaitwa Practical Sexual Relations Officer,

10.Mwizi/Thief - anaitwa Wealth Distribution Officer

11.Dereva/Driver - anaitwa Transport officer,

12.Housegirl/boy - anaitwa Domestics Manager,

13.Mpishi/Cook -anaitwa Food Preparation Officer,

14.Mbea/Gossiper anaitwa Research Assistant.

**Je wewe unajiitaje kwa kazi yako unayofanya
 
wanapunguza ukali wa maneno ilhali ukweli unajulikana,,,,lakini hii ya mwizi kiboko aisee haya m yaya cjui nijiitaje? em nipe jina hapo nijidai mtaani na mie boss ha ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom