Chukua hii itakusaidia

mirymicaiah605

Senior Member
Apr 6, 2014
107
17
Wajinga Wajinga hupenda
kukaa pamoja na kubaki
kuwakosoa wenzao na kudhani
wao ndio walistahili zaidi kuliko
wenzao, na hutamani kila mtu
asiwe na karibu na watu
werevu.
Wajinga wajinga wakikaa
pamoja hubaki kuongelea watu,
yule Suzy....anajisikia sana na
kagari kake, anajifanya yee
anajifanya yee amesomaaaaa
wakati ana ka diploma,
anajifanya ana akili sana. Ukiwa
kwenye kundi la namna hii
ambalo mara zote linajua ubaya
wa wengine na hufurahia
kushindwa kwa wengine na wao
hufurahi wanaposhinda basi
jua uko kwenye kundi la
wajinga wajinga.
Mjinga ananafuu kuliko
--------. Mara zote wale
ambao huwa tunawachukia na
kuwaombea mabaya ndo huwa
wanapiga hatua kwenye maisha
hakuna kitu kibaya kila siku
nasema Kumfatilia Mtu
asiyekufatilia. Kila ukikaa milly
bana hana lolote, milly bana
anajifanya sijui nini, mwenzako
mie napiga mijihatua tu
utukufu hadi utukufu....wewe
ndo kwanza mambo yanakwama
sababu unakaa sana na wajinga
wajinga.
Nimekaa mahali hapa nasikia
watu wanawaponda tu wenzao,
yaani wao wanavyojiongelea
utadhani Manji....nikawa
sogelea kuwahoji...kuna siku
nitasutwa na matarumbeta
kusikiliza watu wanayoongea
kwenye Public......nik
awauliza....mkisha wasema hao
mashost wenu mnakuwa
mumewaongezea nini ama
mpunguzia nini?nikagundua ni
wnafunzi wa chuo kikuu wako
likizo huyo wanayemuongelea
anapiga tempo Ubalozi wa
Norway....nikasema mwenzenu
anaingiza siku nyie mnamsema.
Nikakumbuka Mwalimuwa
wangu pale Airwing Mr.
Kabitulila alikuwa anasemaga
ukikaa na wajinga wajinga
utakuwa mjinga mjinga na
utakufa Mjinga Mjinga.
Kama uko kwenye kundi la
wajinga wajinga chukua muda
chunguza watu wambao
mnawachukia na kuwaongela na
kuwasimanga kama
hawajawazidi kwenye
maendelea. If you cant win
them, Join them.
 
Hata wewe upo kwenye kundi hilo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
shukran sana kwa kunikumbusha nirudi kwenye mstari kama nilikuwa off road. ila kwa kwel mitaani kwetu wajingawajinga wapo wengi kana kwamba ukijarib kuwakwepa na kukaa nao mbali wanakuona we mjinga. Wanajifanyaga wanajua kumbe wanaungua na jua. shwaini kabisa hao wajinga wajinga.
 
Wajinga Wajinga hupenda
kukaa pamoja na kubaki
kuwakosoa wenzao na kudhani
wao ndio walistahili zaidi kuliko
wenzao, na hutamani kila mtu
asiwe na karibu na watu
werevu.
Wajinga wajinga wakikaa
pamoja hubaki kuongelea watu,
yule Suzy....anajisikia sana na
kagari kake, anajifanya yee
anajifanya yee amesomaaaaa
wakati ana ka diploma,
anajifanya ana akili sana. Ukiwa
kwenye kundi la namna hii
ambalo mara zote linajua ubaya
wa wengine na hufurahia
kushindwa kwa wengine na wao
hufurahi wanaposhinda basi
jua uko kwenye kundi la
wajinga wajinga.
Mjinga ananafuu kuliko
--------. Mara zote wale
ambao huwa tunawachukia na
kuwaombea mabaya ndo huwa
wanapiga hatua kwenye maisha
hakuna kitu kibaya kila siku
nasema Kumfatilia Mtu
asiyekufatilia. Kila ukikaa milly
bana hana lolote, milly bana
anajifanya sijui nini, mwenzako
mie napiga mijihatua tu
utukufu hadi utukufu....wewe
ndo kwanza mambo yanakwama
sababu unakaa sana na wajinga
wajinga.
Nimekaa mahali hapa nasikia
watu wanawaponda tu wenzao,
yaani wao wanavyojiongelea
utadhani Manji....nikawa
sogelea kuwahoji...kuna siku
nitasutwa na matarumbeta
kusikiliza watu wanayoongea
kwenye Public......nik
awauliza....mkisha wasema hao
mashost wenu mnakuwa
mumewaongezea nini ama
mpunguzia nini?nikagundua ni
wnafunzi wa chuo kikuu wako
likizo huyo wanayemuongelea
anapiga tempo Ubalozi wa
Norway....nikasema mwenzenu
anaingiza siku nyie mnamsema.
Nikakumbuka Mwalimuwa
wangu pale Airwing Mr.
Kabitulila alikuwa anasemaga
ukikaa na wajinga wajinga
utakuwa mjinga mjinga na
utakufa Mjinga Mjinga.
Kama uko kwenye kundi la
wajinga wajinga chukua muda
chunguza watu wambao
mnawachukia na kuwaongela na
kuwasimanga kama
hawajawazidi kwenye
maendelea. If you cant win
them, Join them.
<b>wajinga wajinga wata-diss</b>
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom