Chukua Dk chache usome huu ujumbe, naamini utajifunza kitu

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
✍ Chukua Dk chache usome huu ujumbe, naamini utajifunza kitu iko siku utasema Naam.. asante Mungu.
👇
Matatizo ya wanawake yanaonekana hadharani, ila sio wao tu hata ya wanaume yanaonekana sema tu kwasababu sisi wanaume tunayamaliza kiume.
Ila wanawake mpaka misuto.
👇
Usitangaze mipango yako- watangazie matokeo baada ya kufanikiwa mipango yako, Ya waja ni mengi sana huwezi amin.
Ukiwapa mipango wataaribu mipango na utopata matokeo na ukifeli wataendelea kukukatisha Tamaa.
👇
Ni bora ukafanya mwenyewe mipango yako ili siku ukifeli kusiwepo na kisingizio ulifeli kisa fulani ,
👇
Kila shujaa nyuma yake kuna magumu kapitia na alijitoa so ushujaa hautokei hivi hivi. Hata na anayekusifia lazima ufanye cha kumfurahisha ndo utoa sifa hizo au kumpa kitu chochote.
🙏👇
Mungu pekee ndo msimamiz wa kila shughuri yako yeyote so usikate tamaa, yupo mtetezi wako.
Msemo wa "kabla hujafa haujaumbika ^ ni msemo sahihi kabisa maana huwezi kusema huwezi fanikiwa na bado unapambana na ujafa so. Anything can happen,
Allha ni mtetezi wa wanyonge....
Allhamudulilah for Everything
Imeandaliwa na 👇🙏
✍ @kimodomsafi_
 
Back
Top Bottom