Tetesi: Chuki inaendelezwa - idadi ya wastaafu ambao hawajalipwa pensheni inaongezeka

Mkuu inauma sana kuna mzee namfahamu kastaafu mwezi May mapak leo hajapewa kitu kila akienda NSSF wanampa story tu.Hapa ana madeni kibao mpaka ameanza kuchanganyikiwa.
Mie sister wangu mpk kesho anachemsha maharage na viziga juu mmh..
 
Ulipotaja ukabila nikaacha na kusoma ,pumba tu
Baada ya Magufuli kumtumbua yule mmama ambaye wakati fulani aliingia kwenye ligi na Bulaya kuhusu kikokotoo aliendelea mbele zaidi na kuivunja ile Ofisi ya yule mmama yaani SSRA na kisha kuamua yeye mwenyewe kusimamia mifuko ya pensheni.

Katika kutekeleza ilo akamchukua Msukuma mwenzake kutoka NSSF na kumfanya kuwa mtendaji Mkuu wa Mfuko huo uku akimpa amri kila siku mambo ya kufanya kwa kuwa huyo jamaa awezi kumkatalia kama yule Sanga alivyokuwa hapendi kuamrishwa kuwa kinyume na Sheria.

Sasa huyu Mkuu wa Mfuko anapata shida kwa sasa kwa sababu Mfuko hauna pesa za kuwalipa wastaafu waliostaafu tangu Mwezi wa sita Mwaka huu. Hivi juzi mkuu wa Mfuko huu alimweleza Mkulu kuwa mfuko hauna ela akamkemea sana km mtoto mdogo na kumwambia nisisikie ukisema uko wapinzania wakasikia.

Kinachendelea ni wastaafu hawa kuteseka tu hamna pensheni na Mkulu na Serikali yake wamegoma kupeleka hela kwenye mfuko. Hapo sasa ndiyo watu wanamkumbuka Sanga ambaye alikuwa hapindishi mambo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la penseni limenigusa sana kwani Mzee wangu amestaafu toka mwezi wa sita mpaka sasa hamna kinachoendelea na tuna imba kutekeleza haki za watu. Kama Mtanzania mwenzangu naamini wazee wenu watastaafu siku zijazo tafadhari mkumbusheni huyu Raisi wa wanyonge atekeleze haki
 
UMEIANDIKA KIUCHOCHEZI SANA
 
Inasikitisha mstaafu aliyestaafu na kulipwa 25% 2018 septemba mpaka leo hajalipwa 25% iliyobaki, Ukienda PSSF wanakushangaa, kwanini hujalipwa, sasa wapi tutaenda kudai? Mbaya zaidi leo unamkuta huyu siku nyingine mwingine, kwa kweli inakatisha tamaa, tunaomba tulipwe haki zetu
 
Mkuu inauma sana kuna mzee namfahamu kastaafu mwezi May mapak leo hajapewa kitu kila akienda NSSF wanampa story tu.Hapa ana madeni kibao mpaka ameanza kuchanganyikiwa.
Kuna mmoja alipokea cheki yake ya mafao akiwa kitandani kwa ugonjwa wa shinikizo la damu. Aliipokea akaiweka chini ya pillow kesho yake akaaga dunia! Huyu mzee alikaa miaka 2 bila kulipwa,madeni yakazidi,akakosana hadi mke wake! Hii kitu imetesa wastaafu wengi.
 
Yaan mm nikisiaga eti serikali ya wanyonge nahisi machozi yanatoka aisee maana wastaafu halipwi wanafunzi wabfukuzwa kwa kudai mkopo sasa hawa wanyonge ni wap aisee
Chinga na mamntilie wanaolipa kodi ya 20,000 kwa mwaka
 
Angalizo hivi sasa NSSF haina hela kama unamadai yako jiandae kisaikolojia mapema mseme sijawaambia
 
Anaweza kukaa hata miaka 2 hawajamuwekea pesa yake,ni waonevu sana hao jamaa.
Hili la penseni limenigusa sana kwani Mzee wangu amestaafu toka mwezi wa sita mpaka sasa hamna kinachoendelea na tuna imba kutekeleza haki za watu. Kama Mtanzania mwenzangu naamini wazee wenu watastaafu siku zijazo tafadhari mkumbusheni huyu Raisi wa wanyonge atekeleze haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Magufuli kumtumbua yule mmama ambaye wakati fulani aliingia kwenye ligi na Bulaya kuhusu kikokotoo aliendelea mbele zaidi na kuivunja ile Ofisi ya yule mmama yaani SSRA na kisha kuamua yeye mwenyewe kusimamia mifuko ya pensheni.

Katika kutekeleza ilo akamchukua Msukuma mwenzake kutoka NSSF na kumfanya kuwa mtendaji Mkuu wa Mfuko huo uku akimpa amri kila siku mambo ya kufanya kwa kuwa huyo jamaa awezi kumkatalia kama yule Sanga alivyokuwa hapendi kuamrishwa kuwa kinyume na Sheria.

Sasa huyu Mkuu wa Mfuko anapata shida kwa sasa kwa sababu Mfuko hauna pesa za kuwalipa wastaafu waliostaafu tangu Mwezi wa sita Mwaka huu. Hivi juzi mkuu wa Mfuko huu alimweleza Mkulu kuwa mfuko hauna ela akamkemea sana km mtoto mdogo na kumwambia nisisikie ukisema uko wapinzania wakasikia.

Kinachendelea ni wastaafu hawa kuteseka tu hamna pensheni na Mkulu na Serikali yake wamegoma kupeleka hela kwenye mfuko. Hapo sasa ndiyo watu wanamkumbuka Sanga ambaye alikuwa hapindishi mambo!
Unaweza kuwa na pointi lakini umechanganya mambo sana,mfuko unao uongelea ni PSSSF au NSSF? Maana usipofafanua kwenye hili,mada yako itakuwa inapotosha sana,Erio ndo DG wa NSSF, na mara ya mwisho nimeulizia Erio sio Musukuma labda kama kabadili kabila hivi karibuni😂😂😂
 
Kuna mmoja alipokea cheki yake ya mafao akiwa kitandani kwa ugonjwa wa shinikizo la damu. Aliipokea akaiweka chini ya pillow kesho yake akaaga dunia! Huyu mzee alikaa miaka 2 bila kulipwa,madeni yakazidi,akakosana hadi mke wake! Hii kitu imetesa wastaafu wengi.
Hizi ndio laana za nchi ..lakini anayezibeba ni mmoja na bado anaendelea kuzibeba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom