Kongwamaji
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 560
- 145
Ni wepesi wa kusahau, upande mmoja wanasema rais aache kuingilia mihimili mingine leo wanasema aingilie, sijui tuelewaje?Rais hawezi kuingilia masuala ya bunge. Spika Ndugai ataweka sawa hilo

Mbona mnalilia mswada unapelekwa bungeni na bunge lina uhuru wa kuamua kukubali au kukataa wasiwasi wenu nini, hii ndo chungu na tamu ya demokrasia. Kila siku mnalalamika raisi anaingilia bunge mara sijui nini halafu sasa hivi mnataka ainglie kuzuia mawazo ya wabunge, mbona hamueleweki.mwache avimbe kichwa abadili katiba .
Nitajie wenyeviti wa taifa CDM tangia kimeanzishwaNaona Leo unamlilia "Raisi wako"!!
Acha unafiki!!
Katika katiba ya chama chenu kuna jambo la kujifunza kwenye ukomo wa uongozi??? Katiba yenu inasema kiongozi mkuu wa Chama(Mwenyekiti) atadumu kwa muda wa miaka mingapi??? Ili tujifunzie huko??
Anatafuta huruma au unaibu waziri.Magufuli alishasema miaka mitano kwa mihula miwili inamtosha. Huyo Nkamia ni njaa zake tu.
Well said, Yericko. Nakubali, kama ni marekebisho ya Katiba, basi turejee ibara zinazoonekana mbovu hasa zinazohusu uchaguzi. Ni jana tu JUKATA waliisihi serikali kabla ya uchaguzi kufanya marekebisho ya ibara hizo. Otherwise, Katiba Mpya ndiyo jibu kama watawala wataridhia.Chondechonde rais wangu Magufuli, hili ni jaribu kuu kwako, Mzee Nyerere alikataa pamoja na hadaha kubwa ya wafuasi wake kwamba aking'atuka nchi itayumba, yeye aliwajibu kwamba, "mseme ukweli, mtayumba nyinyi kwa kukosa ulaji". Mzee Mwinyi alikataa, Mzee Mkapa alitaa, Mzee Kikwete alikataa. Ni wakati wako kuamua, una kura yote ya turufu ya kuamua.
Katika mambo ambayo nchi inaweza kuingia katika machafuko ni huu "upuuzi, wa wachache, katika nchi, naita upuuzi ili kudhirisha kuwa ni hoja ya kipuuzi. Yani Rais aongoze hadi miaka 7 ndio uchaguzi ufanyike badala ya utaratibu wa kikatiba wa sasa wa miaka mitano mitano?
Rais wangu Magufuli kuwa makini na jambo hili. Wanaojipendekeza wakikusifu na kukuchekea juu ya hili hawalitakii mema taifa... Ninazungumza haya nikitambua wazi historia ya nguvu ya umma katika migogoro ya kikatiba, duniani pote hakuna umma uliowahi kunyamaza na mambo yakapita pale watawala walipojaribu kuchezea katiba kwa kubadili vifungu.
Rais wangu ninaogopa, hawa Watanzania unaowaona wanatishwa kwenye siasa wakatishika, mimi sio Mungu, lakini nakuapia kwenye "katiba yao" hawatatishika na kunyamaza, ninazungumza haya kwakutumia mifano hai ya mataifa mengine ulimwenguni. Yanini twende huko kwaajili ya kikundi cha wachache?
Katika kitu hatari sana kwa dunia ya leo ni kuichezea katiba ya nchi, kwasababu ambazo hazishirikishi umma na nisababu za kimaslahi kundi kuliko taifa. Ninani mwenye haki na mnyoofu wa moyo ndani ya ccm ainuke akemee upuuzi huu? Wazee wetu Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mzee Salim A. Salim, Mzee Amani Karume, Mzee Mkapa, Mzee Mwandosya na wazee wengine, makanyo yenu kwa taifa yamekwenda wapi?
Vifungu vibovu kwenye Katiba vimejaa tele, badala ya kuleta hoja ya kurekebisha vifungu hivyo, mtu anakuja na hoja ya ajabu kabisa ama kwa lengo la kujipendekeza kwa Rais au kwa kutumwa na kikundi cha wachache wenye maslahi na matokeo ya mabadiliko haya..
Kwa bunge hili la Ndugai na Naibu wake, najawa na simanzi kama upuuzi huu utazuiwa kweli, Lakini yote kwa yote sidhani kama itapatikana theluthi mbili ya kura za wabunge hata kutoka huko CCM. Kuna watu huko bado ni SMART, siyo wajinga kama hawa wanakikundi .
Mh Rais wangu Magufuli, sisi Watanzania tupo Nairobi tunamuuguza MZALENDO WETU WA KWELI Mh Tundu Lissu, tunaomba utuombee tumuombee apone haraka.
Na Yericko Nyerere
View attachment 589941
Hiyo ndiyo katiba iliyokubaliwa na kupitishwa na wanachama. Katiba hiyo haijakiuka sheria ya vyama vya siasa na kanuni zake. Katiba hiyo, haijakiuka misingi ya katiba ya JMT.Naona Leo unamlilia "Raisi wako"!!
Acha unafiki!!
Katika katiba ya chama chenu kuna jambo la kujifunza kwenye ukomo wa uongozi??? Katiba yenu inasema kiongozi mkuu wa Chama(Mwenyekiti) atadumu kwa muda wa miaka mingapi??? Ili tujifunzie huko??
Mnaondolewa kwenye reli issue ya tl unless muweke sandwich ili yaende pamoja. Spinning news.Chondechonde rais wangu Magufuli, hili ni jaribu kuu kwako, Mzee Nyerere alikataa pamoja na hadaha kubwa ya wafuasi wake kwamba aking'atuka nchi itayumba, yeye aliwajibu kwamba, "mseme ukweli, mtayumba nyinyi kwa kukosa ulaji". Mzee Mwinyi alikataa, Mzee Mkapa alitaa, Mzee Kikwete alikataa. Ni wakati wako kuamua, una kura yote ya turufu ya kuamua.
Katika mambo ambayo nchi inaweza kuingia katika machafuko ni huu "upuuzi, wa wachache, katika nchi, naita upuuzi ili kudhirisha kuwa ni hoja ya kipuuzi. Yani Rais aongoze hadi miaka 7 ndio uchaguzi ufanyike badala ya utaratibu wa kikatiba wa sasa wa miaka mitano mitano?
Rais wangu Magufuli kuwa makini na jambo hili. Wanaojipendekeza wakikusifu na kukuchekea juu ya hili hawalitakii mema taifa... Ninazungumza haya nikitambua wazi historia ya nguvu ya umma katika migogoro ya kikatiba, duniani pote hakuna umma uliowahi kunyamaza na mambo yakapita pale watawala walipojaribu kuchezea katiba kwa kubadili vifungu.
Rais wangu ninaogopa, hawa Watanzania unaowaona wanatishwa kwenye siasa wakatishika, mimi sio Mungu, lakini nakuapia kwenye "katiba yao" hawatatishika na kunyamaza, ninazungumza haya kwakutumia mifano hai ya mataifa mengine ulimwenguni. Yanini twende huko kwaajili ya kikundi cha wachache?
Katika kitu hatari sana kwa dunia ya leo ni kuichezea katiba ya nchi, kwasababu ambazo hazishirikishi umma na nisababu za kimaslahi kundi kuliko taifa. Ninani mwenye haki na mnyoofu wa moyo ndani ya ccm ainuke akemee upuuzi huu? Wazee wetu Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mzee Salim A. Salim, Mzee Amani Karume, Mzee Mkapa, Mzee Mwandosya na wazee wengine, makanyo yenu kwa taifa yamekwenda wapi?
Vifungu vibovu kwenye Katiba vimejaa tele, badala ya kuleta hoja ya kurekebisha vifungu hivyo, mtu anakuja na hoja ya ajabu kabisa ama kwa lengo la kujipendekeza kwa Rais au kwa kutumwa na kikundi cha wachache wenye maslahi na matokeo ya mabadiliko haya..
Kwa bunge hili la Ndugai na Naibu wake, najawa na simanzi kama upuuzi huu utazuiwa kweli, Lakini yote kwa yote sidhani kama itapatikana theluthi mbili ya kura za wabunge hata kutoka huko CCM. Kuna watu huko bado ni SMART, siyo wajinga kama hawa wanakikundi .
Mh Rais wangu Magufuli, sisi Watanzania tupo Nairobi tunamuuguza MZALENDO WETU WA KWELI Mh Tundu Lissu, tunaomba utuombee tumuombee apone haraka.
Na Yericko Nyerere
View attachment 589941
Cheki yeriko ulivyokua popo sasa watu wanasema ukomo wa bunge umekimbilia ukomo wa rais ,kweli nyumbu ni nyumba hauwzi kuwa simba
wakikujibu niambie kaka!!! nahisi watajifanya hawaioni.........Vipi ile Albadir nasikia imechomoa diwani wenu mmoja, Kubenea yamemkuta, dereva wa Heche hoi na Zitto nyumba imeubgua. Bado mna hamu ya kumdhihaki Mungu?
Watu wenye Mawazo Mgando wako wengi anjipendekeza miaka Hii 3 tu ambayo bado miezi 2 Muelekeo haupo sembuse hiyo mia 4Chondechonde rais wangu Magufuli, hili ni jaribu kuu kwako, Mzee Nyerere alikataa pamoja na hadaha kubwa ya wafuasi wake kwamba aking'atuka nchi itayumba, yeye aliwajibu kwamba, "mseme ukweli, mtayumba nyinyi kwa kukosa ulaji". Mzee Mwinyi alikataa, Mzee Mkapa alitaa, Mzee Kikwete alikataa. Ni wakati wako kuamua, una kura yote ya turufu ya kuamua.
Katika mambo ambayo nchi inaweza kuingia katika machafuko ni huu "upuuzi, wa wachache, katika nchi, naita upuuzi ili kudhirisha kuwa ni hoja ya kipuuzi. Yani Rais aongoze hadi miaka 7 ndio uchaguzi ufanyike badala ya utaratibu wa kikatiba wa sasa wa miaka mitano mitano?
Rais wangu Magufuli kuwa makini na jambo hili. Wanaojipendekeza wakikusifu na kukuchekea juu ya hili hawalitakii mema taifa... Ninazungumza haya nikitambua wazi historia ya nguvu ya umma katika migogoro ya kikatiba, duniani pote hakuna umma uliowahi kunyamaza na mambo yakapita pale watawala walipojaribu kuchezea katiba kwa kubadili vifungu.
Rais wangu ninaogopa, hawa Watanzania unaowaona wanatishwa kwenye siasa wakatishika, mimi sio Mungu, lakini nakuapia kwenye "katiba yao" hawatatishika na kunyamaza, ninazungumza haya kwakutumia mifano hai ya mataifa mengine ulimwenguni. Yanini twende huko kwaajili ya kikundi cha wachache?
Katika kitu hatari sana kwa dunia ya leo ni kuichezea katiba ya nchi, kwasababu ambazo hazishirikishi umma na nisababu za kimaslahi kundi kuliko taifa. Ninani mwenye haki na mnyoofu wa moyo ndani ya ccm ainuke akemee upuuzi huu? Wazee wetu Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mzee Salim A. Salim, Mzee Amani Karume, Mzee Mkapa, Mzee Mwandosya na wazee wengine, makanyo yenu kwa taifa yamekwenda wapi?
Vifungu vibovu kwenye Katiba vimejaa tele, badala ya kuleta hoja ya kurekebisha vifungu hivyo, mtu anakuja na hoja ya ajabu kabisa ama kwa lengo la kujipendekeza kwa Rais au kwa kutumwa na kikundi cha wachache wenye maslahi na matokeo ya mabadiliko haya..
Kwa bunge hili la Ndugai na Naibu wake, najawa na simanzi kama upuuzi huu utazuiwa kweli, Lakini yote kwa yote sidhani kama itapatikana theluthi mbili ya kura za wabunge hata kutoka huko CCM. Kuna watu huko bado ni SMART, siyo wajinga kama hawa wanakikundi .
Mh Rais wangu Magufuli, sisi Watanzania tupo Nairobi tunamuuguza MZALENDO WETU WA KWELI Mh Tundu Lissu, tunaomba utuombee tumuombee apone haraka.
Na Yericko Nyerere
View attachment 589941
huo muswaada utaamuliwa na bunge au kikao cha CCM?Mbona mnalilia mswada unapelekwa bungeni na bunge lina uhuru wa kuamua kukubali au kukataa wasiwasi wenu nini, hii ndo chungu na tamu ya demokrasia. Kila siku mnalalamika raisi anaingilia bunge mara sijui nini halafu sasa hivi mnataka ainglie kuzuia mawazo ya wabunge, mbona hamueleweki.
hakuna mwenye shida hii nchi si mali yenu amueni hata mkitaka kuitoa kwa mkopo hakuna atakaekuuliza.Mbona mnalilia mswada unapelekwa bungeni na bunge lina uhuru wa kuamua kukubali au kukataa wasiwasi wenu nini, hii ndo chungu na tamu ya demokrasia. Kila siku mnalalamika raisi anaingilia bunge mara sijui nini halafu sasa hivi mnataka ainglie kuzuia mawazo ya wabunge, mbona hamueleweki.