Davie S.M
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 748
- 228
Mi sio Mdau Kiviiile wa JF ni vile tu nna Interest kadhaa humu hata ni kaactivate ID
Sasa katika Forums Zote lakini hii Forum yenu Kiboko ...huweZ ku intervEne kwenye topic nyingi coz Hutaelewa hata Ukielewa contents ni Personal...
Sa ndio nauliza mnajuana ama ndio JF long time kitamboo ?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums