Chinese nationals ‘shoot’ workers

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Saturday August 20, 2011

From PETI SIYAME in Sumbawanga, 19th August 2011 @ 23:00

POLICE in Rukwa Pegion have arrested two Chinese nationals for allegedly shooting and severely causing serious body harm to seven local workers.

Rukwa Regional Police Commander Mr Isuto Mantage named the suspects as Wangheng Utaha (48) and Hong Dinglai (36).

Both the suspects are working with Hunan Construction Engineering Group East Africa Ltd, who are upgrading sections of Kanazi-Kibaoni road to tarmac level in Nkasi District.

Mr Mantage said on Friday here in the Municipality that the shooting happened on Friday at around 8:30am at Mparamawe village in Nkasi District.

The fracas began when Chinese workers nabbed one of the Tanzanian staff on an act of theft. He was employed as a driver and could only be identified by one name of Rajab.

The Chinese experts claimed that he was stealing fuel and they were forcing him to enter their compound for interrogation.

According to the RPC, it was at that juncture some drivers and labourers started hauling stones to scare the Chinese from taking the suspect to their yard.

One of the Chinese who was armed with a pistol who was identified as Wang Utaha fired twice in the air to scare off irate workers.

It was also reported that the defiant workers were not scared of the shooting as the workers forged ahead with courage armed with stones and other crude weapons.

This was followed by another shooting commanded by another Chinese identified as Hong Ding Lai who came to the scene.

The RPC further said that during that shooting three workers were shot and several others were wounded whose names were identified as Robert Kipaila (22), a resident from Isunta village who sustained bullet injuries on his left thigh as his condition is described to be unstable.

Other wounded workers are, Bi Wilbert (26) from Mpalamawe village who was shot on his knee and Rajab Juma (28) who has sustained a severe bullet wound on his left arm and his condition is described to be unstable.

According to the RPC, all the three wounded workers were rushed to the Regional Hospital in Sumbawanga town where they have been admitted for treatment.

The RPC named other workers who sustained injuries during the shooting as Samweli Abidi (32), a driver, Bernard Elius (27), a bull dozer operator, Moses Eliaza (22), a driver and Ernest Kahuja (30) who were rushed to Nkasi District Hospital in Namanyere town where they were treated and discharged.

According to the RPC, the suspect will soon be arraigned in court once investigations of their case are over.

Hii ndiyo faida za uwekezaji nchini mwetu:

"Mgeni njoo mwenyeji asulubike!"

Mkuu fafanua vizuri kwan hao watengeneza barabara nao ni wawekezaji?
Hata hivyo sheria ifuate mkondo wake ila da! Nchi hii sidhani kama utawala wa sheria upo..

Mkuu fafanua vizuri kwan hao watengeneza barabara nao ni wawekezaji?
Hata hivyo sheria ifuate mkondo wake ila da! Nchi hii sidhani kama utawala wa sheria upo..

Unashangaa ya watengeneza barabara, siku hizi kuna wawekezaji wa Kichina
wanaouza hadi karanga au kusafisha viatu (shoe shiners). Uwekezaji Bongo
ni mgeni kuja, kisha anakopeshwa pesa na kuanzisha biashara yoyote!

Sidhani kama sheria za kazi zinaruhusu upumbavu huu, ila ni kwamba mwekezaji anadharau sheria za nchi yetu.
Isitoshe sisi wenyewe hatujivunii utaifa wetu kwa njaa ilivyotukaba.
Tunakubali kudhalilishwa na hawa wachina kwa ujira mdogo, hii ni fedheha kwetu na taifa letu kwa ujumla.
Kwani hiyo kazi wanayofanya hao wachina hakuna mtanzania anayeiweza? Au ndo yale yale nchi yetu kutoa Class B Resident Permit kwa mchina anayeuza yeboyebo pale Kariakoo? Na wengine hawana kabisa permit wakikamatwa leo unawaona mtaani kesho na kibaya zaidi wanajua nani kawariport!

mimi nitasimama katikati ya tukio ili kwani kuna makosa ya kuwalaumu wachina kwani wanawalipa wafanyakazi katika kampuni za ujenzi mshahara mdogo sana unaopelekea watafute namna ya kuishi kwa kuiba mafuta na mitambo mingine

lakini kwa upande wa pili nadhani tusifike wakati tukahalalisha wizi kwa kisingizio cha uzalendo kwani tunatambua moja ya vitu vinavyopelekea kuchelewa kwa mradi huo wa barabara ya rukwa ni wizi na uzembe mpaka sasa mradi uo haujakamilika na muda wa mkataba unaelekea kumalizika na gharama za ujenzi zipo juu sana mpaka wachina wanataka kukimbia site hii.

isifike wakati wawekezaji wakadhani jamii tunawahamasisha wananchi wawaibie na pia wawekezaji lazima watoe mishahara inayoendana na kazi na wasiwapunje wafanyakazi wao

Kweli kabisa bwana
Watu ni wanafiki sana , wao wakiibiwa wanakimbilia kuwachoma moto, wakijidai wanahasira sana na wezi.
Walichopata hao jamaa kutoka kwa wachina wanastahili, na ninasema hao wachina wana shabaha nzuri sana kupiga miguuni tu, ili jamaa waugulie kitandani.

Tuna sheria zinazomlinda mwajiriwa na mwajiri as well na si kama wanavyofanya hawa wawekezaji wakichina.
Wanatunyanyapaa kwanza kuua viwanda vyetu vidogo vilivyopo kwa ku copy bidhaa (kwa ubora hafifu) na kuziuza kwa bei ndogo mno. Hawalipi (au wanakwepa) VAT, hawawakatii pension wafanyakazi wao etc.
Kwenye VAT wanatumia ujanja wa kufanya import kwa kutumia kampuni iliyosajiliwa na mzigo ukifika unauzwa juu kwa juu. Ikifika mwisho wa mwezi kampuni iliyotumiwa inadai refund.
Hapa mwizi ni nani mwajiri au mwajiriwa?

something really bad is happening in rukwa

and the PM comes from there

Hii ndiyo faida za uwekezaji nchini mwetu:
"Mgeni njoo mwenyeji asulubike!"

Mwandishi ameandika kwa bias, angeandika matukio yote mawili kwa uzito sawa. Angeandika " a Chinese national shot Tanzanian thieves", na sidhani kama kulikuwa na haja ya kutumia nationality. Hii ndio weakness ya waandishi wetu.

Self defense hiyo hawana kesi.

R U Serious It was a Self Defense? Mbona wakiwa kwao China as a Communist hawafanyi hivyo? Umeona Wachina Wakipigana Risasi kwa Self Defense ya Wizi? na Unajua kuwa Wapo Wezi zaidi ya hapa Bongo?

Au tumeudhalilisha Utu wetu toka tuukubali huu uwekezaji usio na Macho? Kila mtu sasa ana haki ya kumbengua Mtanzania...

Azimio la Zanzibar hilo limetuondolea Utu Wetu?

Kujichukulia sheria mkononi is a crime by itself. Hawa wachina wanadharau polisi hadi mahakama.
Huyo aliyesema hapo juu kwamba wachina wamefyatua risasi in self defense sijui kama anajua anachoongelea, ina maana construction company from China ina Chinese security guards! Shame on our governing system.

Yes, hawa ni wezi ambao stahili yao ni risasi, na Pinda kasema juzi kuwa msiwaonee wivu watu wa kusini nao kwa kupata wawekezaji. Tuna safari ndefu sana.

R U Serious It was a Self Defense? Mbona wakiwa kwao China as a Communist hawafanyi hivyo? Umeona Wachina Wakipigana Risasi kwa Self Defense ya Wizi? na Unajua kuwa Wapo Wezi zaidi ya hapa Bongo?

Au tumeudhalilisha Utu wetu toka tuukubali huu uwekezaji usio na Macho? Kila mtu sasa ana haki ya kumbengua Mtanzania...

Azimio la Zanzibar hilo limetuondolea Utu Wetu?

Soma uelewe! Wamewapiga risasi baada ya kupigwa mawe, tena baada ya kupiga warning shots hewani! Wewe ulitaka waendelee kupigwa mawe?

Hata mimi mtu akinizingua namlipua tu. Haiwezekani mtu akuibie mafuta, akurushie mawe, akukimbize halafu wewe unamuangalia tu. Ukiuliza oooh nipo nchini mwangu. Chanachana risasi tu.

Soma uelewe! Wamewapiga risasi baada ya kupigwa mawe, tena baada ya kupiga warning shots hewani! Wewe ulitaka waendelee kupigwa mawe?

Wezi wanapiga Mawe; Wachina Wanapiga Risasi... Tutafika Wapi? hakuna Vyombo Vyetu Vya Usalama?

Back
Top Bottom