Cheslea vs Liverpool at the Stanfford Bridge

I think it is now safe kusema kwamba Chelsea ubingwa msimu huu ndo basi tena.

Itakuwa jambo la busara sana kuachana na EPL na kuweka nguvu kwenye Champions League and/or FA cup.

Torres? - well, imekula kwetu!!
 
foooookin'paulsen?????????/ i need some wheed here
 
ameinama... ameinuka
anaona haya huyooooooooooooo
 
saafaiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa liverpoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooool
 
mods naomba kwa msaada wenu, kama vile ambavyo hat trick hero anachukua mpira, basi nipeni hii thread muijaze kule kwangu
 
mkataa pema..pabaya panamuita....woeful game from chelsea and their record signing alikuwa non-existent....well done liverpool kwa kuwafunga hawa cska london
 
Back
Top Bottom