Tatizo ni allergy. Suluhisho ni kutovaa hivyo vidani
my wife is among them, akivaa tu english gold shingo nzima vipele tu.
hiyo siyo gold ndugu yangu na bei za hizo cheni ni ndogo sana hata wamachinga wanauza. Hivyo mtu kama ana allergy ya hizo cheni inabidi avae pure gold ambayo ni ghali. Hivyo hajaokolewa na gharamaMshukuru Mungu maana kakuokoa na gharama za gold
Kuna baadhi ya watu wakivaa cheni za English Gold hata kwa masaa mawili tu wanawashwa sana na kutokwa vipele vingi shingoni ambavyo ukiona utadhani ugonjwa wa ngozi. Je kuna uhusiano gani hapo?