CHEMSHA BONGO: Nina Uhakika watakaopata Hawatazidi hata Kumi, "KIPIMO CHA IQ"

☆☆Tupunguze Stress kwanza ¤☆☆☆

Angalia Video kwa makini sana Na ukipata Jibu niambie hapo Chini hiki ni kipimo cha IQ na utambuzi wa haraka na ueleze umepataje jibu

View attachment 2945316

Kila Nikikumbuka Jibu la Hilo swali lilivyopatikana Namuangalia Huyo mzee nacheka Sana maana Alivyoona wenzake wamepata ndo alazidi kuchanganyikiwa

Mshindi Wa siku
SIku ya IDDI na Pasaka Nitakupa zawadi na RUKSA KUIDAI hiyo zawadi
The answer is two (2).
 
30 cows, 20 eat chikens. So 10 didn't
 
Huwezi ita hiki ni kipimo cha iq, michezo ya kitoto hii lakini pia kuna uhitaji wa kujua lugha iliyotumika, mtu anaweza kuwa na high IQ lakini lugha sio yake, utamjaji vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom