Chemsha bongo MMU....

Ha ha haaaaaaaa Afro umenifurahisha sn leo,hiyo 40% wanaangalia mwanaume mrefu kama nilivyo mm,usibishe.
 
I know...i know... i knowwwwwwe TAK0!!!
Hasira za nini weee maamaaaaWataka kuniua bureee maaaaaYulee siii wanguu na mii sii wakooChuki ya ninii kati yanguu mimi na weweNasema sinaaa makosaa watakaaKuniii uaa bureesina makosaaa mimi watakaaa miii nifeHahahahaha lolz
 
We mi maneno mengi sitaki....nimepatia au nimekosea?!
 
Afrodenz ndo nini lakini wengine tunawaza namna ya kutafuta hela wewe unauliza chemsha bongo jtatu yote hii
Na majibu yote mpaka sasa ni no aagggggggg
nakupa mji-Taliban
 
Afrodenz ndo nini lakini wengine tunawaza namna ya kutafuta hela wewe unauliza chemsha bongo jtatu yote hiiNa majibu yote mpaka sasa ni no aagggggggg nakupa mji-Taliban
Hahahahahahaha lolzWataja nika lipuliwe kabisa..Mmmhhhh siutaki..Kwa kweli nailaumu hii radio yangu..Maana nimeiwasha ndio kitu cha kwanza nilocho sikia Hahahaha lolz Samahani mami ka nimekukwaza
 
Mi nimecomment lkn cjui jibu langu limepotelea wapi hadi nimeona nighairi tu manake kila mtu anakosa tu. Afro mi nasubiria jibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom